yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] siyo wewe tu pekeako mkuu, tupo wengi ndo maana kwa sasa viewers ni 2m we unafikiri wanatoka wapiUzi mtamu kabisa, kila siku lazima nipitie kuona mapya.
ntaendelea kesho seafarers wenzangu[emoji114][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] siyo wewe tu pekeako mkuu, tupo wengi ndo maana kwa sasa viewers ni 2m we unafikiri wanatoka wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakt jamaa hapo kasema aliwapa direction mkuuKumsifia jamaa kapanga ushuani ni kiazi..!!
Nina uhakika huko mkoa ulipo hakuna Uber, na kama unaishi mjini ‘uswazi’ utaelewa jinsi ilivyo ‘rahisi’ kumwelekeza Uber na akafika bila hata kuuliza.... nakazia kwa maelezo ya jamaa ni mitaa michache ya kishua yenye mageti ya nambari.
Tuseme nawe unaishi ushuani mzee.
share tu edit majina na locations weka za kufikirika.....the past is long goneDah mimi nina mkasa mzito mpaka kusimulia naogopa naona mungu hatonisamehe kwa kweliii,na nilishajaribu kutaka kuandika humu ikawa inagopa kujipost ,
Mungu anisamehe nilitenda dhambi kubwa sana
unaboa, kila mtu akisimulia unaandika chai, wewe chai yako ipo wapi!Chai.
Hajawahi kukutana nayo so anayasikiaga kwa wenzake anaishiaga kunawa tu kula hali![emoji23]unaboa, kila mtu akisimulia unaandika chai, wewe chai yako ipo wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa ushuhuda mkuuhii PEP wengi hawaijui ila binafsi imenisaidia sana
Yako iko wapi?
Mara moja moja!
Ngoja tusubiri may be ataleta sehem inayofuata [emoji4]pia mi mwenyewe nimetafuta sana sehemu jamaa alipomaliza story hamna kitu naona kaiacha juu juu
Muongo...Niko na huu uzi sambamba 😅Ipo juu kule mwanzoni kabisa.
Huyu tumpeleke jukwaa la malalamikounaboa, kila mtu akisimulia unaandika chai, wewe chai yako ipo wapi!
Sent using Jamii Forums mobile app