Stori nyingine wadau waongo Sana yaani unasoma hadi unaisi ni keroooh.. mimi nishakula sana matunda kimasihara, na wakuu tuseme UKWELI tu gemu la kimasihara wanangu halinaga muda wa kukojoleshana wala nini..

Gemu la masihara kwanza hakunaga kujiandaa, wanangu humu wanasema jinsi walivyokula mademu zao siku ya kwanza ndo wanasema alimla kimasihara wakati ni demu wako ulishamtongoza huko.

Na kubwa zaidi watu hamjui Gemu la Masihara ni lile gemu ulilokula Kwenye Mazingira Hatarishi yaani pale ndo umekula kimasihara sababu ata Mazingira ayaruhusu kabisa.

Wakuu tuache Uongo tu, Demu akishakuja hadi kwako hapo hakuna masihara, sababu akija mpaka kwako tayari akili umesha andaa wat next.

Masihara ni Hapo kwa Hapo, Kama Radi vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua ni 8 boss. Ulianza na bet ya bao 12 ndo maana nkaiweka hapo. Wewe ni lijendiiii.
Kwa kweli mimi 8 siwezi kufika. Pamoja na uhuni wangu wote, nkishapiga 4 hamu ya papuchi nakua sina tena, nakua natafakari dhambi zangu tu hadi usingizi uje.
Acha uzembe mm huwa nina manzi yangu siku zikiamka huwa napiga mpk 7 chini ya hapo n tano 5 kwahyo mwamba huwa simshangai kupiga 8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MREJESHO.

Kama ulisoma kisa hiki, naomba nikupe mrejesho kua nimeachwa rasmi juzi na jana nikatangaziwa tena kwa uhakika zaidi.

kaniacha kwa sababu chanzo ni kile kisa cha kumla binti wa kirangi na akajumlisha na matukio mengne ya nyuma ambayo nimewah kumfanyia hasa ya kumchit.

offcoz, kwa matukio niliofanya, i dont deserve her, nimemchit mara nyingi sana lakn sikuwahi kuwaza kama angejua na angechukua maamuzi alochukua jana.

kanivumilia kachoka na hakika anastahili kunichoka,
imeniuma sana sanaaa kwa sababu ni mwanamke pekee ambaye nilikua nina malengo ya kuishi nae na tulikua tushazaa nae mtoto ambaye ana 2.5yrs by now.

nimeumia na nimejutia kosa langu kutoka ndani yangu, nimejiapia kabsa kua sintakuja kumchit teeeena mwanamke nitakaekuja kua nae, kuachwa na huyu binti kumekua funzo gumu na kubwa sna kwangu.

anaendelea na maisha yake na hataki tena mahusiano na mm.
nitaandika thread vzr kwny jukwaa hili la mahusiano ili tujifunze mana kupitia hili nimejifunza mengi,
nitaelezea full stori muone makosa yangu na yake mjifunze pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa asubuhi na tayari nilikuwa nimechelewa kazini mkuu.
Ingawa kwa sasa najilaumu maana bidada alikuwa anatoa majibu ya kuridhisha sana ila finishing ndio tatizo.

Me pia ishantokea nkasema liwalo na liwe mbona nilienda nae sawa japo job nlchelewa ila niliset mambo fresh so nikawa nime archive both
 
Wanasema majuto ni mjukuu. Ungefikiria kabla hujaachana nae na kumpa heshima yasingekukuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi, malipo hapa hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilidhani dume unajifanya mwanamke, nimepitia comments zako nimeamini ni mwanamke.

Hivi niambie, unajisikiaje ukigongwa? Mkiwa wanawake, huwa mnajisifia kugongwa na wanamme wengi? Mfano sisi wanamme ni sifa na hatuoni aibu kusema nisha wagonga 20. Kwenu ikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatuongezea masingo maza mitaani, vijana wa sikuhizi pasua kichwa imagine angekuwa Dada yako ndo kafanywa hivyo ungefurahia? Inaonekana wewe hata pesa ya kumtunza mtoto hutoi ndo maana ameamua kuvunja mahusiano
 
Wengine huyazuia hayo maji sio wote wanaoweza kujiachia mpka yakatoka"mara nying ukiona demu kat kat ya game anakimbilia choon ndo hayo maji yalitaka yatoke sema kayazuia

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi tu mkuu hawawezi kuyavumilia, wengine wanajibana sana au kukutoa hapo kwa nguvu, wachache sanaa wanaweza kuvumilia yatoke huku unaendelea. Mwingine yakishatoka kiasi hawezi tena kuendelea anachoka mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna mwanàmke anayejitapa kugongwa na wanaume wengi
Lbd awe bitch ataona kawaida,hao wanawake wanaojitangazia kugongwa na mwanaume huyu,yule na yule ujue mshamba,mtoto au limbukeni wa mastaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu kwenye chama kadi utaipata kwa MLEVi Mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…