Pale uliposema tu boss alimtuma dereva kwenda kununua K Vant nikajua haya mapenzi ya walevi hayawezi kudumu.Niliacha mwenyewe arifu tulifika pabaya sana. Mpaka kupelekana mahakamani.
God save us
Sisi wengine tumekutana na mikasa mambo kibao tu mpaka hapa tulipo sasa
Kama ni kula matunda KIMASIHARA tumekula mengi tu kwa aina na njia tofauti tuna mikasa matukio mengi tu
Lakini nashangaa tukileta ushuhuda MTU anasema ni CHAI uongo mpaka MTU unavunjika moyo kuleta shuhuda zingine
SASA NINGELETA YA KULA MAITI KIMASIHARA KUNA MTU ANGEBAKI HUKU
Tupeni Uhuru wa kujieleza jamani tuseme CHAI uongo kwa faida ya nani
Mimi natoa SHUHUDA za kweli ni mambo yaliyonitokea kweli au vibaya kushare nayi
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀 Nani kasema me natafuta Mume?depal alafu unatafuta Mume ? your not serious...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shindwa kiumbeWewe kama n wakuliwa, utaliwa tu tena mazibgira ambayo huyategemei time will tell.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri nao unakukimbia angalia usije ukaanza kulalama kuwa hauna bahatiHuu uzi umefanya niblock ME 😀 nikiona tu ananiletea story hazieleweki namsindikiza na block.
Kwenye Hiace muda wote Niko na earphones, kama amekaa ME pembeni nitakuwa busy na simu....huwa siko confortable kuongea na stranger.
kama Sir God ameniandikia Mume wangu nitakutana nae kwenye hiace au barabarani basi huyo nishamkosa
Inshort naogopa kukutana na wala kimasihara, wazee wa touching 🙌 maana inaonekana mko na mbinu konkii mno
Ndio kwanza saa 6Umri nao unakukimbia angalia usije ukaanza kulalama kuwa hauna bahati
Ulishakazana Uzi ufungiwe, Uzi ufungiwe wakati kila kukicha umo tu unasoma comments zote fupi na ndefu, halafu inaonekana ukiusoma huwa unakuwa wet sana na huna wa kukukuna ndo maana, emu kitulize basi binti na jaribu kubalance shobo zako, pita kimya uende kwenye majukwaa ya dini huko.Huu uzi jamani una haribu vijana wetu sana bora ufungiwe tu
Tumia vizuri huo muda ikifika SAA 8 utaanza mayoweNdio kwanza saa 6
Ilete na hiyo ya maiti tujue ilikuwajeSisi wengine tumekutana na mikasa mambo kibao tu mpaka hapa tulipo sasa
Kama ni kula matunda KIMASIHARA tumekula mengi tu kwa aina na njia tofauti tuna mikasa matukio mengi tu
Lakini nashangaa tukileta ushuhuda MTU anasema ni CHAI uongo mpaka MTU unavunjika moyo kuleta shuhuda zingine
SASA NINGELETA YA KULA MAITI KIMASIHARA KUNA MTU ANGEBAKI HUKU
Tupeni Uhuru wa kujieleza jamani tuseme CHAI uongo kwa faida ya nani
Mimi natoa SHUHUDA za kweli ni mambo yaliyonitokea kweli au vibaya kushare nayi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio vizuri ili dunia yote msikieTumia vizuri huo muda ikifika SAA 8 utaanza mayowe
Mxiuuuuu 🤧 mtu mzima hovyoo,
Kaka naomba uimalizie mpaka huko maana mbali na kula tunda kimasihara huu pia ni uzi wa mafunzo na burudan ku share life stories kama hazitakuathiri sana binafsi.Tuliachana vibaya sana ikabidi niache kazi lakini boss lady akawa hataki. Kesi ilifika hadi mahakamani. Kwa kifupi ni story ndrfu sana
God save us
weka ushahidi wa hayo madai yako.Jaman mod fungeni huu uzi unaharibu vijana na una sababisha mabinti wa watu wabakwe bila sababu
Haha....hamna shidaSasa mumeo ndio niko hapa nasoma misimamo yako future wife.. umenifurahisha sana
Sielewi huyu Bushmamy kinamleta nini kwenye huu Uzi? Mbona ziko nyuzi kibao tu kinachokufanya kupitia kila comment huku unashadadia Uzi ufutwe ni nini?weka ushahidi wa hayo madai yako.
Jaman mod fungeni huu uzi unaharibu vijana na una sababisha mabinti wa watu wabakwe bila sababu