Sasa mtu amekulana kimasihala na mpangaji mwenzie wewe inakuuma nini? Kula kimasihala haina maana kuyapatia maisha.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hujui pajama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu cha muhimu uzima tu na maisha yaendelee ukianza kufatilia sana utajiumiza,kuna mdau humu amedai alipiga mke wa mtu lakini walikuwa na muda wao tu wa kwenda kulana wanaujua no sms no call no whatsapp chat ukifika tu muda demu anazama ndani jamaa anachapa sasa ukianza na kutrack namna hii utajua kweli!!!
 
Acha mawazo mabaya, enjoy your love na mkeo.
 
Hongera zenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
atakuà hash.....ndo mwenye iyo mitindo
 
😀 😀 😀 😀 😀 Hivi nyie mnaokula kimasihara humu ni wale wale wanaolia ajira hakuna au vyuma vimekaza kwenye thread nyingine?!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu we acha tu haya mambo, tena unakuta mtu ambae hana ajira dushe lake all the time linawaza mgegedo tu, lipo 4G mda ote hana cha kumkeep bize,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2015 hiyo nimepanga tabata.barakuda pale....bado bachelor kipindi hicho..sina hili wala lile.....ratiba ilikua kwenda mzigoni...jioni napitia sehemu napata msosi..kwenye kamgahawa...napiga stori na jamaa kidogo nduki geto....

Sasa bana pale kulidakua na dada fulani wa mjini mjini hawa..anasoma CBE....kila akitoka chuo anapitia pale walikua wanamgahawa pembeni pia..na duka...anasaidia hapo jioni mpaka saa nne hivi usiku ....

Mdada alikua mzuri kweli aisee...na tukikaa pale na wenzangu basi tunaona njemba na magari nini wanaleta mtoto...mara wengine ndo wanafukuzia...sie wengine tupo tu....

Ile kuonana mara kwa mara ikawa kama tumejuana....ikawa mambo poa basi....
Siku moja nakula hapo...dada nae yuko bize na biashara zake....sasa akiwa anasubiri wateja kaja nilipokaa na sababu huwa tunaonana kila siku haikua tabu..tukaongea hapa na pale....mtoto full confidence....simu kubwa...kapendeza...nikaona hapa najichora..ns kila anaeniona hapa anajua najisumbua tu....Hahahaha....ghafla nikamkaribisha kwangu...kaitikia asante...ya kinafiki...nikaomba namba kanipa nikasepa zangu....
Ikapita wiki nikipiga simu hazipokelewi tukikutana pale naona jau kuuliza chochote..kuna mchizi wangu mmoja alikua anajua nilichukua namba basi full kunicheka tu...hahaha..
Aisee baada ya miezi mitatu siku ya jumapili nakumbuka saa tano hivi...ghafla nikamkumbuka....nikapiga mtoto kapokea....tukasalimiana pale...stori mbili tatu..nikamkaribisha gheto....Jibu lake sasa ooh ngoja niangalie maana baba na mama wote wapo hapa....nikiweza nitakwambia...nikajua ndo yaleyale tu..nikaendelea na mishe zangu...
Saa nane naona sms...unakaa wapi....dah...myo pwaaa..mapigo yakaongezeka....pwa pwa pwa...hahaha....nikamuelekeza...ooh nakuja basi baada ya nusu saa hivi.....haha..
Nakaamka nikatandika vizuri..nikakimbia dukani nikanunua kasoda...nikaenda kuongeza umeme....wale wa nyumba za kupanga wanaelewa...hahaha..umeme usije katika na mgeni yupo ndani....hahaha..

Mara paa..nipo getini si hapa geti juesi....nikajibu ndo hapohapo...nikaenda kumpokea..aisee dada alikua kapendeza hatari, maji ya kunde....mwili wa kati, msafii , kajazia nyuma kimtindo halafu anajiamini mbaya....hahaha....
Kaingia ndani...karusharusha macho juu...stori zikaanza....sasa hapo nashindwa niseme nin maana hata sound sijawahi mpiga...basi akawa anachezea simu pale stor zimeisha..nikamsogelea kwenye kochi...ghafla kanionesha picha....Kuangalia ni xxx...hasemi chochote....
Kilochofuata ni kumpinda kwenye kochi....mdada alikua msafi mpaka hutamani kuacha....nilikula mzigo non stop....mpaka kila mtu hoi..kanisukuma huko...hahaha...
Baada ya hapo kaenda zake kunawa bafuni
..bafu la nje.....tukaa kidogo mikamsindikiza kasepa...
Sikuamini aisee....yaani pale pale nikamcheki jamaa yako kumpa hizi taarifa..hakuamini aisee....hahaha...

Mahusiano yalikufa palepale.....nikawa namuona tu yuko bize...kwa mbali na jamaa yake etc.....tunaangaliana machoni tu kila mtu anafanya yake....hahaha

Sasa hivi nimeoa..rasmi kabisa...niko na familia yangu....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shoo ilikuwa chini ya kiwango nini hakukushtua mrudie mnyukano!!!
 
so umemuoa au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukipata matatizo hao strangers washindwe kukusaidia sababu hawakujui?

Anayeliwa kimasihara ameamua iwe hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipiga show mbovu ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh najuta kusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa una mawazo ya kizamani sana yaani kwa kuwa mtu hana pesa/mchongo basi asile kimasihara/basi asiwe na mahusiano

we sema roho mbaya unatafuta namna ya kuihalarisha.wapo walio kula kimasihara kwa kukutana kwenye michongo ya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…