Kwa style hii natabiri huu Uzi kufungwa au wakupe burn.
Alikosea kukuibia lakini kwa kuwa pesa yako uliipata sidhani kama ni busara kuweka hapa majina, namba na video zake chafu.
Usifikirie tu ubaya aliokutendea fikiria pia na usiku mliokesha mkipeana penzi na ufikiria ana maisha yake mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kachero umetisha sana.

Mtoto mkali kabisa wa kuoa huyo, lakini ndo ivo, mademu wanatamaa sana.
 

Bro yaan nmesoma kama nachek movie vile,aisee story nzur na unajua kuandika,big up Mkuu
 
Wewe mujamaa ni ndugu yake na le mutuz?
 
Mzee umeongea kwa uchungu sana "mahusiano yakafa pale pale" ukaendelea kula kwa macho. Ha ha ha bora ulijikalia pembeni baada ya kuona maji marefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks. Ndo namalizia hapa kuandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Haichoshi kabisa kusoma safar hii makeke ya boss rona sijayaona ulianza kumpenda mhabeshi bila wewe kujua
 
kwahiyo msala ulisolviwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…