Pale unapozini na kumkumbuka Mola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbavu zangu ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huuu uzi unaushawishi sana baada ya kuusoma ....mwezi wa kumi na moja mwaka jana kulitokea msiba naishi arusha ila maziko ni moshi kama kawaida usafiri ilikuwa coster za kukodi kituo ninacho pandia tulikuwa tupo watatu wadada wawili (wao wenyewe walikuwa hawafahamiani kiivyo) walikuwa masister haswa 30+ kiumri tulikuwa tunapanda kituo kimoja ila sikuwai waona kabisa nahisi kutokana na mishe mishe sister mmoja tulizoeana hapo hapo tumuite rose(sio halisi)kabla hata gari halijaja alikuwa kashanizoea kiasi kwamba akaniachia vitu vyake kakimbilia kwake kuna kitu alisahau na kurudi.....tumeingia kwenye gari alienda kukaa nyuma kabisa mimi niliitwa na mabroo zangu kukaa mbelembele huku tumefika kule msibani mambo yalikuwa mengi ila mda msiba umekaribia kuisha tukakutana kwenye kaduka anachapa bia nikajumuika nae nilipiga mbili ila yeye alikuwa anakunywa taratibu sana story mbili tatu plus vile vibia nikaanza kumthaminisha alikuwa black beuty flani mnene kiasi kakishundu kajaliwa sababu mda huo alikuwa kajifunga mtandio uliokunjwa kiunoni nikawa najiuliza sijui itakuwaje ila hapa sio kwakulaza damu kimasihara lazima ihusike .....wakati wakurudi watu walibeba mbege za kutosha kwenye gari watu walikuwa wanakatia tu plus mziki na kelele kule kwenye gari hali ilikuwa sio poa tumekuja shuka kituoni jioni mida ya saa 1 kila mtu yuko moto nikamwambia kama vp twende tukaendeleze ligi kwenye glocery flani tukaenda endeleza story za uongo na kweli sijui story za kulana zilianzia wapi ila nilimwambia tu zimenibana hatari akaanza kucheka nikamuomba angalau apaone kwangu sio mbali na pale nikampeleka magheto chapa sana kumbe mwenyewe alikuwa nazo pia alikuwa mtamu balaaa mimi nilipiga game ilitoka sare ya 2-2 mwisho wa show alishukuru sana alikuwa ajagusa mtarimboo mda kumbe anawatoto 2 ila hana bwana kwamaelezo yake .....baada ya hapo nimwendo wa kuchapana tu na amenizidi miaka 8 hapa ......nisameheni kwa uandishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dada Ni wa majengo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi umeeleweka vizuri mkuu endelea kumpa dahawa!!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masihara yangu bana sasa imekuwa hatari. Mie nimefanya ki masihara, yeye kajaa mazima.

Tangu nimewasilisha post hii, sasa huyu maza ambaye amenizidi 8yrs yeye ndo ananitafta. Yaani ameingia mazima. Ni mimi tu kuamua kwenda au kutoenda kwa kutafta sababu za hapa na pale.

Alikuwa ni muumini safi, mwanakwaya, kiongozi wa kina mama, three kids, sasa mme wake akawa anamzuia kufanya kazi anataka awe mama wa nyumbani, kakogoma ndoa ikapata shida. Mme kasepa, kamwachia nyumba na watoto. Mama anapambana kulea wanae.

Sasa mie kula ki masihara najaribu kumlaum kuwa alikuja ofisini na uchawi, naye analaum akitaja waha sisi ni wachawi, nimempata kwa madawa. Nikitoka kumpoza, narudi nimechukia, najuta. Yeye sasa anaanza kunipa ushauri yaani nisifikirie dhambi hizi. Yaani ananitengeneza nione ni sawa tu ili niwe najikadiria mwenyewe.

"...ntamaholo, Unapoingia kwenye maombi omba san simamia maombi vinzur acha kufikiria mengn mtangulize Mung mbele...". Yaani napewa ushauri halafu jioni naambiwa natakiwa nikatulize mawimbi

Nimemshauri ahakikishe mme anarudi na ameanza kuwasiliana naye. Naamini ntakiwa huru kwa mme wake kurudi. Huenda alikuwa amemis dushe muda mrefu.

Yaani leo nasukuma ndinga inanizidi 8yrs? Haya masihara siyo kitu poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Yaani leo nasukuma ndinga inanizidi 8yrs? Haya masihara siyo kitu poa"



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh Tembaa[emoji119]

Kizibo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…