Ni ujinga tu hamna cha crush wala nini. Kujiendekezq..
 
Hahaha hiyo sio kimasihara ni kimipango mikakkati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee hili darasa ingekuwa ulaya mkuu tulitakiwa tukulipe pesa ndefu.

Anyway longlive jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da wewe jamaa salute ziende kwako.najaribu kusoma bila kuacha hata nukta ila nina uhakika wewe ni mmoja kati ya watu wanaofurahia ndoa zao kati ya watu ambao duniani wamepata wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyie jamaa mnapata sana dhambi asee
 
IM BACK.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]VIJANA MMEKULA MATUNDA MPAKA BIRIANI!

Sent using Jamii Forums mobile app
Welcome back Baharia, Uzi wako bhana ndo umefanya watu weng wale/waliwe kimasihara na kimpango mkakati zaidi ili mradi tu nao waonekane wamekula kimasihara

Ebu fafanua vizuri kula kimasihara maana yake nin?
Nataka wale wanaokula kimpango mkakati afu wanasema kimasihara waelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…