INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 993
- 1,343
Kaka wamekupaisha insta,facebook na kwingineko huko.. Pia bila kusahau wame ku tagIM BACK.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]VIJANA MMEKULA MATUNDA MPAKA BIRIANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
IM BACK.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]VIJANA MMEKULA MATUNDA MPAKA BIRIANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeliwa kimasihara wiki iliyopita, Baada ya Mechi ya yanga kuisha, nilichanika nilikaa ndani siku 3 [emoji24][emoji24][emoji24], nilikutana na mguu wa mtoto
Welcome back... legend..
Welcome back legendIM BACK.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]VIJANA MMEKULA MATUNDA MPAKA BIRIANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa heshima ya RIKIBOY kwa kutoka kifungoni kuwa huru
Nitafanya kama zawadi au kumpongeza ndugu yetu
Nitashusha ushuhuda ambao nilikuwa nikiuficha na kuulinda kwa mda kidogo
Kama wewe ni mpenzi wa huu Uzi utakiwi kukosa ni kosa kisheria
Hii itawajia Leo ndio Leo kwaiyo mda saa yoyote kitashuka kitu
Kama shukrani kumkalibisha tena ndugu yetu
Naludia hutakiwi kukosa huu ushuhuda
Huu uzi nmeuona wameutupia hadi facebook
Mzee wa kula dada jambazi. .baby jini. .ndugu mchawi. .sister mwizi safari hii bila shaka itakuwa story ya kula devil mwenyewe lusiferKwa heshima ya RIKIBOY kwa kutoka kifungoni kuwa huru
Nitafanya kama zawadi au kumpongeza ndugu yetu
Nitashusha ushuhuda ambao nilikuwa nikiuficha na kuulinda kwa mda kidogo
Kama wewe ni mpenzi wa huu Uzi utakiwi kukosa ni kosa kisheria
Hii itawajia Leo ndio Leo kwaiyo mda saa yoyote kitashuka kitu
Kama shukrani kumkalibisha tena ndugu yetu
Naludia hutakiwi kukosa huu ushuhuda
We si ndio unakomalia huu uzi ufutwe au?Nimeliwa kimasihara wiki iliyopita, Baada ya Mechi ya yanga kuisha, nilichanika nilikaa ndani siku 3 [emoji24][emoji24][emoji24], nilikutana na mguu wa mtoto
Karbu mkuu,shuhudia kaz ya akili yako ilpofika[emoji16][emoji16]IM BACK.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]VIJANA MMEKULA MATUNDA MPAKA BIRIANI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Karanga mbichi kg 1????!!!!Mwanangu ukipania Sana utakula kiduchu
Sasa fanya kununua karanga mbichi kg 1,asali mbichi kichupa kimoja, kunywa maji ya kutosha, ushushie na mihogo mibichi ya kutafuna. All the best usisahau kuni tag! [emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
kaka naona sasa PM yako Imejaa namba za watu kibao maana umekuwa star boy hadi Kenya
nimelikuta jina lako chuo kimoja flani hivi Kenya kwa wanaosoma hicho chuo wanajua huyu riki boy jina lake limeandikwa sehemu gani ha ha
kuna demu pia eti aliniomba namba zako si unajua tena nilijifanya nakujua kindakindaki mzee ha ha
nahisi kupitia wewe lazima nitamla Yule demu
Mtunza mazingira