Unapika chai kama kawaida yako
 
Mwanangu ukipania Sana utakula kiduchu
Sasa fanya kununua karanga mbichi kg 1,asali mbichi kichupa kimoja, kunywa maji ya kutosha, ushushie na mihogo mibichi ya kutafuna. All the best usisahau kuni tag! [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo kupiga bao nyingi kunatemeana na mwili wa mtu (Strength), vyakula anavyokula haswa protein, umri (Huwezi ukamlinganishi kijana wa chini ya miaka 25 na yule wa above 35 wakiingia kula mizigo huyo wa umri mkubwa atapiga bao chache), muda wa kufanya mapenzi naamanisha interval ya siku, Stress haswa za maisha au kazi nk.
 
Nimeku DM mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…