Duuu uko juu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo movie msha anza.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAKUU HUU UZI UNANIFANYA NAENDA KULA MANZI KIMASIHARA KABISA... ipo hivi ( naomba nisitaje majina halisi maana sijui kama mtu wa mtandaoni ila Demu simjui kabisa)

Nipo mkoa X sasa kwenye huo mkoa kulikuwa na event kubwa tu ya siku 2 imeisha juzi tu, (naomba nisiende Directly sana).

Basi kwenye hiyo event kulikuwa na watu Zaidi 1500 so vibanda vya biashara vingi sana pale ilikuwa event kubwa sana.

Sasa siku X katika pitapita zangu kwenye vibanda nikaokota karatasi ina majina mengi sana na email na namba za simu pamoja cheo cha huyo mtu ( nizile karatasi za kujisajili kwenye event kubwa kubwa), kuangalia huku na kule sikujua nani kaangusha, basi nikaichukua ile karatasi nikaweka mfukoni nikaendele na mishe zangu

Sasa siku X nikaanza kuipitia ile karatasi duh aisee nakuta majina yenye title kubwa kubwa ya CEO Kampuni flani afu kuna namba zao..

Wazo la Uzi huu likanijia, nikatafuta jina zuri la kike nikaona jina la X ila title ni Secretariat nikasema huyu huyu, kwel nikachukua namba mzee nikamtumia txt hello X habari yako? Eeeh baada ya Dakika mtoto akajibu Salama, basi sikujibu tena mala simu ikaita kwa namba ngeni kumbe ndo X akaniuliza nani? Sasa sababu na mimi namba ilikuwa ngeni kwangu hivyo nikamuuliza nani wewe? mtoto alivyotaja jina X nikasema uh umeisha, nikamwambia tuliona Kwenye event X ukumbi X mtoto ooh sawa..(atukuwai kuonana so demu naisi kamfananisha mtu so kajibu Directly tu but anijui na Mimi simjui)

Toka hapo tukaanza Chatting nikampanga siku X tuonane ila akachomoa kasema X tuonane, mtoto huku nakule naona picha (niliomba picha zake) aisee ni PIN code sio ya Nchi hii...

Hapa nawaza hivi zile karatasi za watu wanazosajilia Kwenye event sasa nitakuwa nazichukua kwa majaribio aise ya kula kimasihara, nikimla huyu X basi wale wenye Title ya CEO wajiandae kabisa sina utani, na karatasi hii naitunza kichizi.

WANANGU SIKU X UKIONA DEMU WAKO KAZIMA SIMU MIDA YA MCHANA JUA KUNA MUUNI NABAMIZA, KAMA UNAJUA KUNA DEMU WAKO ALIKUWA KWENYE EVENT YA SIKU MBILI JUZI JUZI MKOA X BASI MCHUNGE SANA KWA SIKU X.

Asantee Uzi huu kwa Mema Yote!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu weka code vizuri usije uka.tut o.mb.eeaa mademu zetu kimasihara
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Interesting
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi unanuka mavi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmh hadi leo watu wanakulana kimasihara?
Hakuna mwamba mmoja atusimulie jinsi alivyokwea std kimasihara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…