Chai hii VIWAWA afu mwanafunzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha na mie nifunguke..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakyaMUNGU....ukiona mtu kakaa chini katulia kwenye ndoa na familia yake...mpe kongole na mtie moyo..kwa sie wakubwa, tumefanya na tumeona mengi,ukisimuliwa mengine huwezi amini.....

Mwaka 2004 namaliza Advance,baada ya kurudi kijijini nikisubiria matokeo wana pale kitaa wakaniambia twende zetu machimboni tukasake,tukashuka mgodi mmoja unaitwa Sekenke,kwa wenyeji wa njia ya Dar Mwanza ukiteremka tu mlima Sekenke unafika kijiji cha shelui kuna njia inaelekea kaskazini ndiko mgodi ulipo.

Kabla ijaondoka nyumbani,niliweka nadhiri kuwa sitatembea na mwanamke hadi nitakapo pata kiasi kikubwa cha pesa,so nilipofika mgodini sikuwa na mishe kabisa na maduu,nikawa busy na mambo ya kusaka note,miezi kdhaa ilipita holaaaaa,pesa inakuja kidogo tu na bahati mbaya sikuwa na uzoefu ma dauarani,kazi zangu zilikuwa za kuvuta felo, kuponda mawe na kusondeka kwenye kabuta (waliopita machimboni wanaelewa)...kwa hy sikuwahi kushika ponchi maana madura yalikuwa yanatisha sana.

Baada ya miezi 4 kupita bila kupata pesa za kunitosha nikajadiliana na mwana wa karibu na kumpa wazo langu jipya kuwa nataka niende nikajaribu kwenye samaki,nikamweleza kuwa nataka niende Dolomoni au Loya....akasema haina shida,kwa vile sie ni wanaume,hakuna mipaka kwenye kutafuta,kama unhisi patakutoa nenda zako na MUNGU akutangulie,nikamjibu ameen na kesho yake nikatembe zangu Loya kujiunga na wavuvi..duuuuh.Kwa wasioijua Loya ipo Wilaya ya Uyui nadhani mkoa wa Tabora,inapakana na wilaya ya Igunga kwa upande wa mashariki na uvuvi hufanyika kwenye ziwa Wembele kwa pande zote kwa Uyui,Igunga na Iramba.

Nilifika Loya jioni,nikakuta wapambanaji wengi wamesharejea forodhani...wakati natafakari nianzie wapi nikamuona mwana ninayefahamiana naye, anatoka kijiji jirani na cha kwetu,basi ikawa nafuu yangu akaniingiza kikosini tukawa kazini sana,mambo yalikuwa mazuri huku angalau pesa ilianza kuonekana nilikuwa na uwezo angalau wa kulaza ten kwa siku,na nikawa na vijenti vya kutosha tu baada ya miezi 3, shule nikasamehe kwanza na.sikutaka hata kusikia habari ya matokeo yangu.

Mwezi wa Octoba ghafla wazo la kurudi nyumbani likaanza kuniingia,nikamweleza yule mwana aliyenipokea wazo langu akasema pouwa,basi akashauri niende pale kijijini Loya anagheto kapanga,nikae hapo angalau wiki ili nijisafishe...maana tulikuwa kama wadudu,sio kwa ukurutu niliokuwa nao,nikifika nyumbani vile naweza liza watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Basi nikafika pale kijijini kama alivyonielekeza,nikajitambulisha kwa baba mwenye nyumba basi nikapewa ruhusa ya kukaa kwenye ile nyumba....sio nyumba in such,ni banda la nyasi,mlango wake ni wa miti,wa kubeba unautoa mlangoni na kwa mchana unaweza kuufanya kitanda hapo sebuleni au nje kwenye mti ukapumzika...na usiku unubeba unafungia mlango.

Baadaya siku mbili nikaanza kufahamiana na watu majirani, kwenye vibanda vya mama ntilie. Sasa kuna mama mmoja wa kinyaturu,ni mtu mzima kwangu kwenye miaka 50 na kidogo hii,aliniambia kwao ni Mwamsai na ana watoto 4, mwanae wa mwisho alimzaa alikuwa yupo sekondary,aliniambia inaitwa Kilosa Morogoro...basi ikawa hivyo namuheshimu tu sana sikuwahi kufikiria kabisa kumla,na nilikuwa nimeweka nadhiri kutotembea na manzi yoyote ile hadi nipate pesa ya kunitosha,kwa hy na kwa umri ule,alikuwa kama mama yangu mkubwa.

Siku ya kumla ilikuwa hivi:

Niliamka asubuhi kama kawaida,maana kazi yangu ilikuwa ni kuoga na kula ili kuondoa ukurutu na weusi uliozidia...nikaenda kula kwa mama ntilie,nikiwa narudi nikamuona yule jamaa yangu wa kule forodhani naye karudi,nikamuuliza vipi,akasema nimekuletea samaki kidogo uwapelekee na mboga huko kwa wazazi wangu,nikamjibu vizuri....na akanipa salamu nyingi za kupeleka kwa wazazi wake, mkewe na watoto wake maana alikuwa ashao kule kijijini,sema tu maisha magumu akaamua kuja kuzichanga ziwani..!Wakati ananipa salamu hasa zile za mkewe na wanae nikashikwa na huzuni sana,siio siri...nililia kwa sauti na yeye akalia sana,kumbe mwenzangu aliondika nyumbani miaka 5 sasa na nyumbani walikuwa hawajui alipo.

Nilihuzunika mno,na jioni nikaamua nikanywe tu pombe maana labda huzuni itanitoka. Nikaingia kilabu moja ya kienyeji karibu na hapo senta, nilikunywa pombe ya kienyeji ya mtama,gongo, kindi wanzuki huku nikila miopoo ya kamongo waliokaushwa.

Wakati nikiendelea kupata masanga hapo na wana wa pale senta,yule mama akaja,akaniomba nimnunulie pombe,nikamwambia kunywa akachukua akenda kukaa na wazee wenzake pembeni mie nikaendelea na wavuvi na wanunuzi walioamua kuja kupumzika siku hy. Nililewa chakari,sana.....mida ya saa mbili nikaelekea gheto,nikaingia kulala.

Mida ya usiku sikumbuki hata saa ngapi,ule mlango ukasukumwa ukaangukia ndani nikajua leo sasa,hakyamungu nimevamiwa nilichomoa sime chap nikamulika tochi.....niliishiwa pozi,ni yule mama,nikamuuliza vipi usiku huu,hajibu kitu,vipiiiiiii mama mkubwa? akajibunimekuja tulale[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] wakati nashangaa akanishika mabegani,shetani akishiriana na pombe wakani vaa...

Sikumbuki ilikuwaje,maana naamka asubuhi niko na yule mama, yupo uchi kwenye ngozi,mie nipo uchi pia...basi nikamwamsha kistaarabu aende kwake,akashindwa kutembea,nikamwambia basi tulia hadi ukipata nguvu jana ulilewa sana,nikamwacha mie nikaenda kuoga kwenye bwawa la kijiji as usual huku nikitafakari kilichonifika na yule bibi,nilikaaa kwenye mti karibia masaa mawili nawaza hicho kitu...nilijihisi mkosaji na nikaomba msamaha kwa MUNGU.

Sasa nafugua shuka nioge naangalia dushe ishida.....damuuu,ikabidi niioshe chap kukagua ile naweka maji tu....maumivu,kumbe ilikuwa vidonda vya michubuko....yaani kama vile ile kitu ilikuwa inaparuliwa na kisu, kila upande....Mawazo yakazidi zaidi. Basi nikaoga nikarudi gheto,yume mama analalamika nimemuumzia vibaya,nikaomba msamaha sana,siku hy alishindwa kabisa kutoka ndani nikaenda kumnunulia Asprin na Pen V,akanywa.....nafuu ikaja, usiku ulipoingia nikamtoa kwani alikuwa wa kushika mkono....sijui nilimgongaje yaani hadi leo sijui hata ukiniuliza. Alikuporudi kwake alikuwa hatoki ndani,niliuwa nakwenda kumjulia hali japo alikuwa ananionea aibu sana...na analalamika tu na kunionya kuwa huo sio ufanyaji...wanawake watakukimbia.

Baada ya wiki moja mie nikarudi zangu kwatu nikakuta mzee kaiva kinyama na mama, asubihi nikafanyiwa kikao cha ukoo, nikala mboko kama 18 hivi na nikapewa adhabu ya kuchunga ng'ombe na kunyesha mwaka mzima...japo baadae nilisamehewa mwaka uliofuta nikajiunga na elimu ya chuo kikuu, maana kumbe nilikuwa nimefauli....Huyo mmama ppopote alipo,heshima yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa na vuziii huyooo ndo maana. Unge mwambia anyoeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakae kupa attention wewe ujue ni gasho mwenzako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi ulipeleka samaki kwa ile familia ya jamaa yako , kama ulipeleka ikawaje, vipu jamaa Alisha irejelea famili take au bado anatafuta?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

alielewa pls
 
Chai hii VIWAWA afu mwanafunzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi vijana wakatoliki unawajua au? Nilianza kuwaona hawa vijana katika umoja wao mimi mwenyewe nikiwa bado mwanafunzi..

Hata huyo rafiki yangu pia alikuwa na huo uongozi wake lakino bado alikuwa mwanafunzi.

Uzuri wa JF kuna watu wanajua kuliko neno lenyewe kujua lilivyo.

Sawa mkuu hii ni chai tafuta bites ushushie kabisa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…