Kaka zangu Nimeliwa kimasihara kwa bahati mbaya siku si nyingi sasa yule mwanaume kaniambukiza Gonorrhea Naomha msaada wa halaka kwa aneyeijua dawa ambayo itaondoka kabisa uo ugonjwa NB.mi nimwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
hueleweki wewe ni wa kiume au wa kike

Kuna muda unaleta swaga za kike,muda mwingi wa kiume. Au unachangia akaunti na mkeo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka zangu Nimeliwa kimasihara kwa bahati mbaya siku si nyingi sasa yule mwanaume kaniambukiza Gonorrhea Naomha msaada wa halaka kwa aneyeijua dawa ambayo itaondoka kabisa uo ugonjwa NB.mi nimwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna injection inaitwa Panadool Kama sijakosea Ni the best wakikupiga kwenye makalio hayo siku ya kwanzA ukitembea Bila shida Wewe ni Mwanamke wa shuka!!!

Typed Using KIDOLE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…