Unataka kulazimisha watu wote wawe na fikra kama zako eti eee. Endelea kushikiwa akili na hao unaowatukuza tuache sisi tuendelee kufaidi dry.
Mimi mwenyewe dry hua naogopa zinaa tuu si kingine
 
Hahahah......aisee hizi K zitatuua kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubabakee.... hizi akili ukizitumia kutafuta pesa awamu hii utakuwa tajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba umenivunja mbavu haki ya nani nimecheka hatari mbavu zangu mieee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

We jamaa pamoja na kwamba daily unaandika chai humu, hii imenoga sana.
 
Durex huwa zinakaa mbili kwa kile kifungashio chake...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza kama ulivyoandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuu pole hilo tunda linatakakukutoa roho, ungekufu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NGOJA NILETE YANGU NYINGINE YA NILIVYOMLA DEMU WA MFANYAKAZI MWENZANGU KIMASIHARA

Mimi ni muajiriwa ktk Taasisi x iliyopo ktk mkoa x...sasa hii taasisi imejenga nyumba za wafanyakazi nyingi sana...zaidi ya 40..ila wafanyakazi wengi wamepanga nje,hawapendi kukaa hizi nyumba kwa sababu ni old fashioned though zina choo na bafu ndani(hakuna master bedroom)na vyumba vitatu

Sasa siku moja mfanyakazi mwenzangu(sina mazoea nae sana)ali import mzigo kutoka DSM...huyu jamaa alikuwa ameoa na mkewe anakaa mkoa jirani kabisa na mkoa tuliopo

Jamaa alikaa na ule mzigo siku 2,siku ya 3 mida ya sa 6-8 mchana..nilirudi kwangu nnapoishi(sikumbuki kitu gani kilinirudsha)

Ghafla jamaa akiwa na mchepuko wake...akatumiwa meseji na mkewe kuwa amekaribia kufika Stand ya mkoa tulipo(mke aliamua kumpiga suprise).. Jamaa sasa kwa kiwewe,kutoka nje,akaona kausafiri kangu kamepark nje,akajua nimo...akaja Fasta anahema kweli kweli akanieleza scenerio nzima akiomba nimsaidie kumuhifadhi yule demu kwangu kwa mda flani mpk amalize kumuweka sawa mkewe..nikamkubalia

Akarudi kwake..dk c nyng karudi na yule Manzi,kumchek ni wa kawaida sema figure imesimama..basi nikamkaribisha ndani..jamaa akasepa kwenda kumpokea mkewe huko stand

Kwa vile mm nilikuwa narudi kazini..nilimwacha manzi sebleni akicheki muvi...nikamuonyesha na chumba cha wageni (in case akitaka kupumzika),mm nikaamsha kazini(nikampa na no yangu just in case)

Nipo kazini,ikaingia meseji..."nikupikie nn usiku"..moja kwa moja nikajua atakuwa manzi wa jamaa..nikamjibu"chochote isipokuwa ugali" tu

Narudi kutoka kazini Saa 11 namkuta manzi yupo sebleni..nikampa hi nikazama ndani kuchek jikon msosi ushapikwa fresh..nikajimwagia maji,badili nguo nikarud seblen nikaanza sasa kupiga nae stori

Inshort Manzi alikuwa anajua kuwa jamaa ana mke hvyo haikumshutua sana..basi(kumkirimu mgeni),nikamwambia naenda kuchukua kinywaji dukani(si mbali sana na nnapoish)nikamuuliza nn nimletee akajibu "chochote ila c soda"...akili za kishetani zikaanza ku ring a bell

Nikachoma mafuta hdi store moja kubwa ya vinywaji..nikanunua caton 1 ya savanna na Penasol(mm ni mpenzi sana wa hii kitu,esp red)

Kurudi, tukala..zikaanza stori huku tunacheki muvi na vinywaji juu(mabaharia pombe ni kishawishi kizuri sana kwa hawa mabinti wanaokunywa,hutumii nguvu kivile)

Manzi kagonga ya 1 ya 2 kufika ya 4,naona kaanza kuchangamka...ananiuliza huna video za mziki..nikamuambia nnazo..nikamuwekea wimbo kipindi hicho unatamba sana wa KATIKA by navy kenzo ft Diamond...demu asianze kuyarudi pale..sikuchelewa nami nikajiunga..cheza nae pale..touch 2,3..mara nkaletewa ulimi,romance safi...kilichotokea MABAHARIA mnakijua

Kesho yake ilikuwa J2 nakumbuka,jamaa baada ya kumsindikiza mkewe stand asubuhi...sa 2 katia timu,kamchukua manzi wake kasepa nae na hakujua lolote hd leo, ingawa mawasiliano yaliendelea na yule manzi na nilipita nae mara 2 nyngne then tukapotezeana mazima
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndio tafsiri sahihi ya kula kimasihara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

CHAI


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…