Haha! Akiamua kukanyaga waya. Seems huyo jamaa yake nae ni baharia akajua linaloweza mkuta mpenzi wake.
 
Mzee wazingua wenzio tulikuwa tunaenda ponea na vitoto vya lumbila kule twajipigia kwenye matuta ya uwanja wa basket sku nyingine kwenye gorofa la chini la underground ya bweni la mkapa tukizidiwa sana na makeke ya mademu wanaopita njia ya luthuli basi puli kule luthuli A hahahaa umenikumbusha maisha ya iyunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule Lumbila mmeacha watoto wengi Sana msisahau kupeleka huduma... Hahahaha daaah ulikuwepo enzi za viwese vya kwa mama injinia?
 
Am the member of that location too!
There at luthuli A!
 
Uzi wa mabaharia
Na mimi ngoja nichangie huu uzi

Nakumbuka ilikuwa mwaka Jana mwezi wa tisa,anco alinituma nipeleke document zake wizara ya afya Dodoma,kipindi hicho nilikuwa sijawahi kukaa Dodoma nilikuwa napita tu kuelekea Dar au mbeya

Niliondoka Dsm saa 11 jioni na busi la Al saedy kama ,tulipofika katikati ya Moro na Dom tulikutana na foleni iliyosababishwa na ajali hali iliyosababisha tufike Dodoma saa 6 usiku,
Nilikuwa nimebeba kibegi changu mgongoni ndani kilikuwa na document na vitambulisho vyangu binafisi,
Baada ya kufika Dom nikatulia kwenye kibanda Cha chips pembeni kulikuwepo na bar ipo karibu na road inayoelekea town karibu na bunge .nikaagiza supu kutokana na baridi la usiku ile ,Mara paap akaingia mmama mmoja wa kichaga mweupeee,akanipa hai nikareply baadae akaagiza supu na yeye .baada ya kama dakika ishilini akaanza kuniongelesha kuniulizia kwamba natoka wapi na naelekea wapi ,nikamjibu then akaniuliza kama Nina mwenyezi nikamwambia sina ( kiukweli Nina ndugu na marafiki wengi Dom ila sikutaka nifikie kwa mtu coz nilipanga nigeuze dar immediately baada ya kukamilisha mipango yangu) ,alivyosikia hivyo akaagiza bia yake na mimi but nikaikataa ,tulipiga story sana kwa ngeli(nahisi ndo kitu kilichomfanya anipende)

Ilipofika saa nane vijana wa mroto wakaingia na landcruser nyeupe tinted wakaamrisha watu wafunge bar (wateja walikimbia kinyama baada ya wazee wa kazi kuingia) tukabaki mim na yule dada na polisi coz dada aliniambia tusikimbie tusimame tu,wazee walipoona begi langu wakaliomba walikague nikawapa hawakuona kitu ,zaidi ya document wakaniambia ntafute sehemu nipumzike coz mim ni mgeni ,
Basi yule dada akaniambia hakuna haja ya kuchukua gest kwa vile ameniamin twende tukalale kwake
Wakuu ilinibidi nikubali but kwa shingo upande nilikuwa nahofia asije kuwa muuzaji,Basi yule dada akawasha gari tukaekekea kwake eneo ambalo silifaham mpaka leo,

Baada ya mwendo kama wa dakika 15 tukafika kwake,alikuwa anaishi kwenye nyumba kubwa pekeake,akanipatia maji ya kuoga ,nikaoga then kanikaribisha chumbani ,daaa alikuwa na chumba kizuri,kilinukia vizuri harufu yeshe ushawishi wa Mambo flani,mim muda wote nilikuwa naogopa japo aliniambia anakaa pekeake mme wake washatengana ila hofu haikuniisha moyoni

Akazima taa ,akabadilisha nguo na kuvaa night dress ,mim pia nikavua na kubakisha boxer,kwa kua kitanda kilikuwa kikubwa nikaacha nafasi kati yangu na yake tusigusane,baada ya dakika kadhaa nikashangaa nashikwa dushe na mkono nikadinda ,akanisogelea nikapiga denda ,na kuzama chumvin ,demu alikuwa na bonge la tako ,then we make love,nakumbuka alikuwa akitaka kukojoa ananikumbatia kwa nguvu na kuning'ata shingo nilipiga vitatu vya afya,
Akapitiwa na usingizi,ilipofika saa 11 nikaamua kutoroka japo njia siifahamu ,coz nilihofia asije nigeuka asubuhi,niliamka nikafungua mlango taratibu na kuindoka,nikawa nasikilizia sauti za magar au boda boda nafata direction,bahati nzur nikatokezea barabarani ,pembeni kulikuwepo na wazee walikuwa wanakunywa kahawa,nikaungana nao mpaka saa moja asubuhi

Baadae nikachukua daladala mpaka mjini,na bodaboda kutoka town mpaka hospital ya milembe nikapandisha mlima hadi wizara ya afya,mida ya saa nne nikakamilisha Mambo yangu na kurudi dar muda huo huo,

Sikuchukua namba yake Wala yeye hakuchukua namba yangu

Usiku mwema wadau



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akipitia uzi huu, atajijua, atakuPM

James Jason
 
Nilivyokisoma nimekumbuka kukisoma kisa hiki mwanzoni sana.

Kwa hiyo ikabidi ni-search neno Kibaha, kwa ID ya jamaa. Maana nakumbuka hilo neno lilitumika pia.

Ndo kuipata hiyo post.

View attachment 1395457
Ooh Aiseee!
Basi Mkuu hivi visa bila shaka unaeza kumuadithia mtu kwa mtindo huu wa kutosahau visa vilivyoanishwa humu tayar!
 

na pale katikakati ya uwanja A&B. kuna washenzi wengine walikuwa wanaenda kujipigia hadi mama tekla yule muuza wali kule sokoni
 
Dah! uboyzin tabu sana, unapopata free lunch kama hiyo lazima uenjoy aisee.. hakika hiyo likizo ilizaa matunda na ndomana mpaka leo ukawa mtaalamu wa physics na maths[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…