Hahahahah Nyie madogo wa kutoka ileje ,mbozi na mbaralj mlikuwa.washamba sana pale camp [emoji1787][emoji1787]

Mmeacha sana watoto kule mabafu ya Mugabe,nyerere,kawawa na luthuli [emoji3]

Anyway Mimi nilipita pale form 4 wa mgaya [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikua na mechi kati ya timu ya shule yetu n shule jirani..! Mpira ulipoisha dada flan tulikua darasa moja akanifuata n kunipa pole kwakua kilikua kigiza giza nikajaribu kuomba mate nikapewa[emoji2211][emoji2211]. Kilichofuata n kwenda moja kwa moja ghetto kwa bro flan tukalana ile asubuhi wenzetu wanakimbia mchaka mchaka tukajiunga nao. Bas na story ikaishia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa, kuna uwezekano wa kuona kwamba ni raha, lakini si sana.
Raha ni pale unapomkuta yupo timamu, hakuna msongo wa mawazo unaomkabili.

Hapo ndio safi sasa.

Otherwise, ni sawa na kusema umemuua simba, wakati alikua hatua za mwosho kufa baada ya kujeruhiwa na silaha. Huwezi kuonekana shujaa, na ikotokea ujipe kujiona shujaa, basi unakua 'unajikosea' heshima mwenyewe.
 
Hahaha Mimi nilikuwa mjanja aisee... Nikitokea bweni la LUMUMBA chemba moja tuliita maghorofani... Nilikuwa na mafundi akina George Gambi, Selemani Ayubu (mwandishi wa gazeti la shule) na wengine kibao
 
Mkuu hii chai 2009 kulikuwa na gari za new force

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha zilikuwepo Tena kampuni ndio ilikuwa mpya kabisa na ilikuwa inapambana na mabasi fulani yalikuwa yana rangi ya bendera ya Marekani yalikuwa yanaitwa American Passengers ingawa kipindi hicho mabasi maarufu yalikuwa ni Hood na Abood... Next time uje vizuri sawa!!!!
 
Kama hujui bora ukae kimya tu. Usikute miaka hiyo ulikua bush wewe!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari nimemjibu kwa uzuri kabisa, huenda enzi hizo alikuwa bush huko. Hiyo time New Force ilikuwa ndio inaanza na ilikuwa inakula ligi na mabasi fulani yalikuwa yana rangi ya bendera ya Marekani yalikuwa yanaitwa American Passengers... Though kampuni kongwe zilikuwa ni Hood na Abood
 
Hekima

Sent using Jamii Forums mobile app
 

We jamaa umejiunga jana ili uje na huu ushauri humu?

Sijaona kama kuna mtu kazungumzia ushujaa humu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Moro na Manka kimasihara tu.

Basi bwana baharia 2017 nimetoka zangu bushini hukoooo morogoro naenda zangu mjini daslamu kumsabahi bibi angu mgonjwa haswa afu navyomuhusudu bibi huyu, acha tu!! Mpira umenisumbua hatari kuanzia Mikumi mbugani feni imezingua mbovu yani laana. Imagine unaendesha gari dakika 10 inachemka basi unaegesha road side ipoe ndo ivo ivo mpaka nikafika Moro town mida imeenda kiseeera, moja kwa moja nikaenda Mogas kuirekebisha.

Kufika Mogas daktari wa mashine akaniambia huna namna baharia nnua feni mpya hii ilisha-jam na mortar imeungua!! Dah jau kweli, nikamwambia jamaa sio kesi twenzetu tukaichukue wote, lengo kupunguza loop hole ya jamaa kunipiga cha juu si unajua mafundi wetu hawa. Basi bwana tukadaka boda tukajipindua tu mpaka fire njia ya kwenda Mazimbu kuna maduka kibao ya used spare parts wenyeji wa moro wanapajua hapa.

Picha ikaanzia hapa
Ile tunarudi pale Mogas kwenye matoyo yetu kwa mbele tumeongozana na boda lingine ndo nikamuona Manka wa Rombo. Mtoto kajaa kwenye toyo rangi ya mtume masabufa yametokelezea kwa pembeni wallah huoni side mirrorr za lile toyo. Basi baharia nikajiongeza fasta nikamsanua pilot wangu, "Mwamba ebu vuta kibati icho mkaribie huyo mtoto anaemiliki ilo boda kwa saizi nataka nimsomee risala."

Vuuuuuuum boda likaitika, mie fasta nikajilipua, "Manka mambo?" Mtoto akaniangalia kama ananikumbuka kama kanisahau, fasta nikamuongeza jingine, "Mi mwafulani, umenisahau kidogo vishavu vya kitimoto na bia vimenitoka" Muda huo boda ziko sambamba na baharia anajitahidi tukiachwa akeep pace ili mwanae nilongelonge na mtoto kama nna kifurushi cha YATOSHA. Basi bwana mtoto akamwambia boda wake ebu weka pembeni bombadia niongee na sponsor.

Mita 30 mbele boda likasimama, baharia wangu nae akasimama. Basi nikamfata nikamkumbusha manka, enzi izo mi nasoma jiwe chuo fulani Moro ww ulikuwa diploma, "Waoooooo kumbe ni wewe?" Bila kupoteza muda nikamuomba manamba akanicholea nikamwacha akaenda zake, mimi nikaenda garage pale tukamaliza ufundi mi safari dar.

Kesho yake sasa.
Nikamaliza yangu ya dar kama saa tisa ivi alasiri muhuni nikachomoka dar safari moro, saa moja flani nikafika mjini. Moja kwa moja nikamvutia waya bibie stori mbili tatu nikamwita maeneo, uwanja wa nyumbani Top life hotel. Mwenyeji wa Moro ataelewa kwann nilimwita pale, moja sikutaka kupoteza muda kuanza kuzurura umelewa Buza unataka ukalale Tegeta pale ni multifunctional.

Nimefika nikaagiza kisichana na redbull, dakika kumi nyingi manka kafika kaagiza juice. Dah nikaona nshaanza kufeli, lakini akawa na sense kwamba hajala haweza kufakamia ulabu atahaibika. Fasta nikamuita wa restaurant tukaagiza mapochopocho pale. Kuna dish moja ivi inakujaga na manyama nyama na chips humo humo basi tukaanza kufakamia stori mbili tatu nikijaribu kumprob manka huku mi nikiendelea kupaua tu na visichana. Basi kwenye gari nilikuwa nimenunua vi open shoes pair mbili ivi vya kimasai, nikamwomba vile vi sandal vyake nikaangalia size nikakuta size 40, what a coincidence!! Nikaenda nikafata pair moja huku nimechukua vile alivyovyaa vyake nikaviweka kwenye gari nikarudi na vile vipya nikampa akavaa. Weee asante kama zote namm wala sikujiangusha nikamsifia umependeza kama nn yani ili mradi kumvuruga akili.

Basi bwana manka akanipa stori zake pale, muda huo ashaanza kupakia redds kwamba yupo Mzumbe University anakula jiwe basi namm nikampa zangu za uongo na ukweli pale ilimradi kusogeza muda huku nikifurahia kampani ya mtoto mzuri na mweupe haswaa wa kichaga. ***** redds hazidanganyi aisee, 4 tu mtoto akaanza kurembua namimi sina hiyana nammiminia kwenye glass kila akipiga funda moja, kufika saa tano usiku ashalewa anadai amechoka anataka kulala.

Fastaaaaa nikapanda reception nikachukua chumba cha 30k nikatoka nje kwenye gari nikachukua supplies, if you know what i mean??? Nikarudi bar chamber nikaendelea na stori za kuzuga zuga tu muda huo mkuyenge unaniharakisha niache ubwege niondoke na mtoto room nikale nyasi.

Nikamnyanyua mtoto watu wachache waliokuwepo pale muda huo haswa wastaafu wote macho kwangu wakifaidi kwa macho ile mega-specie nnavyoondoka nayo kuelekea jimbo la kabul kulipua mabomu. Basi tukaingia runduno mtoto akajitupa kitandani. Hakuna siku nilipata tabu kama siku ile ingelikuwa sio Senior Superintendent baharia wallah ile mission ninge abort usiku ule nakuwithdraw majeshi toka battle ground.

Ilikuwaje??

Mtoto alikuja amevaa amedamshi vibaya sana na tshirt moja nyeupe sana kama vile anajiandaa kwenda club, chini akawa kamaliza na jeans moja iliyomkaa barabara ivyo kumfanya shepu lake liwe kama ndege mnana. Kumbe lile jeans liliibuka kuwa kikwazo kikubwa kuliko hata cha COVI-19 kwa wafanyabiashara kwenda China. Kuanzania saa tano na nusu ivi usiku ni vita ya kuvua jeans mpaka saa sita na kitu, ajabu mtoto nikimpa mate anakubali nikinyonya zile boribo kifuani anasisima ila jeans hataki kushusha "Unataka kunifanya nn??" Kauli ilitawala muda ule kama corona na vyombo vya habari karne hii

Hatimaye nikafanikiwa kushusha ule ukuta wa Berlin fasta sana nikavaa rough rider zangu taratiibu nikala nyasi, nikala nyasi kavu, nikala nyasi mbichi, nikala nyasi, kwa hasira nikala sana nyasi usiku ule. Tukalala mpaka asubuhi tukaamka na morning glory, basi tukaoga tukashuka restaurant pale tukapiga breakfast pale masoseji nini na nini. Nikamuuliza mtoto elekeo wapiii? Akaniambia nanenane basi nikampeleka nane nane nikamwacha mm huyoooo nikarudi bushini kwangu.

Aisee ile siku siwezi isahau jinsi nilivyo kula kimasihara manka.
 
Nakumbuka 2009 nilipanda new force tena modern zao zilikua na quality ya hali ya juu huduma muruaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…