Mchuchu una avatar yenye mvuto

[emoji3][emoji3][emoji3]

Si mpaka aniweze sasa

Itakuwa labda yale mafuta amesema anapaka kwene uzi fulan ivi, kqakua ana avatar nzuri nimescreenshot wese analotumia ili nimnunulie mwanamke mwenzie,

si mpaka aniweze sasa , depal umejuaje hakuwez, umeshajitengenezea rank tayari, ahahaha wanawake kwakujiwekea madaraja bwana,

Ivi mwanamke mgumu kumvua chupi ndio anathaman eti ? manake anaweza akusumbue wewe mwaka mzima ila kuna mjanja wake anamvulia chupi everyday,

Anyways mkuu kasema tuchape kazi me corona imenikuta likizo nashinda tu maghetoni karibuni tushindie popcorn na movies


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii ndo lugha ya wanawake DECENT wote (ondoa wa ku-act), lakini huishia kuliwa... Na wanaume wengine walivyo mabazazi, huwauliza hivi ilikuwaje ulianza kwa kunijibu NYODO vilee..?? majibu huwa yanatoka kwa utata sana
Nacheka moyoni tu
 
Hahaha we usinifurahishe, ukishamnunulia usisahau kuleta mrejesho. Kwanza akipaka tu utakuwa unatamani umuhug kila dk wese lile lina kiharufu kitamuu.

Sijajitengenezea rank, me nilisemea si mpaka aweze sasa kunila kimasihara. Yataka moyo sana kuvua chupi bila malengo, I mean kwa mtu usiyem-admire

Hizo popcorn nitumie kwa BM zitanifikia
 
Kila muda nikiona id yako(ina display kweny huu uzi) nakuja mbio , najua tayari.

Kumbe hakuna kitu.[emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahahahaha badala useme unakuja tule wote unataka nitume, your not serious, are you ? ahahaha nimezingatia sana lile somo la mafuta, JF is not worthless at all japokuwa kuna makenge maji mengi sana sema tunayavumilia tu...

kama ngozi yako inafanana na hyo avatar yako mwanamke mwenzako ntamnunulia yale mafuta, BTW nimewasaidia mabaharia wakisoma hapa the'll jump to the mafuta link/uzi waangalie umeandika nini na wao wapate knowledge, Alafu hawatanishukuru walivyo na mioyo migumu kama ya shetani 🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndomu hukutumia.....baharia utakufa kizembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dadeq.... aahahaha jamaa yako kiazi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaaa..... sasa vip ndomu bado unatumia???


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuta gani hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh.. ulifaid saaana mkuuu. Beki tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…