We ni [emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you atleast ww umeamini I wish watu wangejua the girls they are dating with wasingeshangaa yaan atleast mm nilikua nachagua class zna watu w akua nao kuna wngn hp wa kwao yyt twendeee ila ndio hvy hawajui...Mungu atusaidie!
Nikisoma hizi vitu basi naona kama ntakua bachelor forever yaani mapenzi yaninyime raha huku Life is enjoyment hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikisoma hizi vitu basi naona kama ntakua bachelor forever yaani mapenzi yaninyime raha huku Life is enjoyment hahahah

Sent using Jamii Forums mobile app

Inategemea kwa mfano km mm huyu Mme wng mtarajiwa nilikua nafanya pumba zote ila nilikua staki ajue ht kwa bahati mbaya yaani ht alikua akihisi akiuliza huyu nani napata tumbo kuuma najieleza mpk jasho linanitoka..ila nashukuru Mungu hakuwahi kugundua am sure angejua angenitelekeza km nna ukoma
 
Jobha wewe ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji95]. Ujana inakuja na mengi, wengine wanafanya yao ili wakiingia kwa ndoa watulie na wengine ni vise versa. I'll not judge coz none of us is perfect, ila natamani kujua ID yako OG!! Nimependa tu hapo, after all you've done, the p...y is still very tight...
 
Siku zile ulisema utaleta stori zako kwa ID tofauti, nilikuelewa..


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa kweli mm Mungu akinijaalia hii ndoa ikakamilika sitakua na kipya cha kunifanya nicheat kabisaa sababu I did almost everything....hahahahah! ID yng OG unaigahamu vzr mno ila ndio vile tu naogopa kuharibu cv ndugu yangu...nimekuja kuhundua haya mambo ni maumbile tu kupita nilikopita ingekua hizo ishu za bwawa ni kwa kua na wengi i swear ningekua na bahari kabisa ila kwa walengwa waliojaribu hawakileta mrejesho huo kabisa na reference kubwa ni huyu mume wangi mtarajiwa sidhani km analoongea ni kunidanganya au kunipa moyo though I cannot be so sure sababu ninaambiwa I cannot test myself tofauti na nyinyi unajua kbs mimi nina big thing au kibamia! Be bleesed!
 
Usijali, safari ya maisha ina mambo mengi, hadi kufikia umauti watu tumefanya mengi mazuri na maovu pia. It's normal Jobha. I'm curious kujua ID, japo ni vizuri kuficha identity yako pia, I know you'll tell me. [emoji39][emoji39]

Bless your heart!!
 
POPOBAWA
UNAKUMBUKA KIPINDI CHA POPOBAWA WEWE [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Matunda bure kabisa kwa sisi tulio kuwa tumepanga tuliletewa matunda na yalikuja yenyewe yalijileta kwa kuogopa kuhofia POPOBAWA [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hawatiki kulala wenyewe wanaogopa wanakuja getto kulala na khanga mmoja kitanda kimoja POPOBAWA [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nasisi tukawala tulikula ki POPOBAWA miguu juu kichwa chini [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Came back POPOBAWA [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sio ma slayqueen mashuga mamy masingle parent yaani tulijipigia POPOBAWA[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…