Wakati huo mtoto mlimpeleka wapi.
Hii togwa kabisa
 
ni mwanamke huyu nahisi ndo huyu aliyeahidi kuleta shuhuda yake humu kwa ID mpya (NB: simaanishi mfukue makaburi ili muijue ID yake ya zamani).
Nilijua hawezi kosekana mtu wa aina hii.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kafukue ni me ndio niliandika hivyo ila sikuahidi. Hivi unajua maana ya ahadi wewe
 
Ndugu wake za watu ni hatari chunga sana unaweza jikuta unafumuliwa marinda kimasihara shauli yako.
 
Kaka usitoe hint jamani maana kuna watu humu tunaheshimiana nao wakinijua kumbe tabia zng zilikua hvy haki watanishusha vyeo wakati nilijitahidi saana kuumaintain upuuz nliokua naufanya na kutoharibu reputation yng
sorry dada yangu sitafanya hivyo πŸ™
 
Kaka usitoe hint jamani maana kuna watu humu tunaheshimiana nao wakinijua kumbe tabia zng zilikua hvy haki watanishusha vyeo wakati nilijitahidi saana kuumaintain upuuz nliokua naufanya na kutoharibu reputation yng
Why u are calling it upuuzi, has good it is/was intrinsically driven u are/were offending none to give pleasure to ya self.
Sababu kubwa kabisa kwa nn hakuna visa au vipo vichache vya shuuda za ke humu,Ni kwa sababu wengi they don't have the guts to face the truth kuwa waliliwa kimasihara(wanaona kama ni umalaya, maana huo ndo mtizamo wa jamii na umewekwa na sisi/wanaume). Pamoja nakuwa wapo kwenye fake ID.

So big up despite covering up ur cover up identity........



Sent using my Audi A6 [emoji593]2017 model
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…