Total stranger!! never on earth πŸ™Œ
Hata hivi visa hapa kuna vingine sio kimasihara kabisa, sometimes KE anakuonea tu huruma anakupa ila akitoka hapo we ndio unajina ulipiga kimasihara.

🀣🀣🀣🀣 Eti ke anakuonea huruma tuu... Dah wanawake mnaakili fupi kweli kweli

By the way hamnaga kuonea hutuma nae alitaka kugegedwa ndio maana akatoa papuchi.
 
Asante kwa uwakilishi mzuri wa kibaharia, good kabisa
 
Uongo ni kuwa ulio date nao wote wana gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahari mil 4.
Mwanaume unajipinda unapeleka. Kudadeki
 

Yeah your right...be blessed!
 
Sasa kaka mtoto akishaanza kutembea unadhani atarudi kucheza na watoto wanaotambaa? Halafu gari mbona ni kitu cha kawaida sana siku hizi mpk mil5 ukijichanga unapata gari zuri tu sasa cha kufia kwenye madaladala nini wakati mikopo ipo?
Sawa Depal tumekusoma

sorry nimekosea. sio jina lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…