Firigisi weee...! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huwa nafikiria sana kununua Spy camera. Ila huwa naona kama ni ukatili sometimes.

Ila kwa wanawake wenye mentality kama ya kwako, ukimkuta mtu ana spy camera zake kazitega, Ukimuacha wala hatokusumbua.

Ila tu ujiandae kisaikolojia maana yajayo yatakuwa yanafurahisha...
 
🀣🀣🀣🀣 Eti ke anakuonea huruma tuu... Dah wanawake mnaakili fupi kweli kweli

By the way hamnaga kuonea hutuma nae alitaka kugegedwa ndio maana akatoa papuchi.
1. Huruma πŸ’―

2. Na Mimi nilikuwa nakutamani siku nyingi ila nikakosa nafasi so ikitokea hivyo ndio namim natake opportunity....ila kwa kuwa wewe akili yako fupi haiwazi nje ya box ukitoka hapo utaona umenila kimasihara kumbe ni huruma tu nimekuonea au na Mimi nilimiss
 
Kijana naona unajitekenya sasa endelea...

Jobha ila we dada nae ulileta story yako wakati mbovu kweli πŸ˜€πŸ˜€ dah! Kmmk"" sio kesi lakini
Let's dance according to the tune
Dada, hiyo "kmmk""" maana yake ni nini ?
 

Camera ungeniwekea mwilini hapo ungenipata ila kwenye nyumba niliyokua naishi mwanaume pekee aliekua skiingia ni huyu mume wangu mtarajiwa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…