Waache
Ila sijapenda na kwa kuwa hii JF naielewa always I'll dance according to the tune.

Hii ndio shida ya mtu kuforce unachoamini kwa kutumia nadharia ndogo ndogo km herufi wakati ID yng ya ukweli ynyw hata haianzii na D
 
Hii ndio shida ya mtu kuforce unachoamini kwa kutumia nadharia ndogo ndogo km herufi wakati ID yng ya ukweli ynyw hata haianzii na D
Shida imeanzia pale nilicomment nitafungua ID mpya niwaletee chai "ilikuwa jumamosi haijapita hata week na wewe umeleta visa vyako na new ID ndio maana hao Vizibo wanahisi ni mimi

Watajiju bana, lemme enjoy some tea here 😀
 
Hatuwezi kuku judge si umesha tuambia katabia kako.
 
Shida imeanzia pale nilicomment nitafungua ID mpya niwaletee chai "ilikuwa jumamosi haijapita hata week na wewe umeleta visa vyako na new ID ndio maana hao Vizibo wanahisi ni mimi

Watajiju bana, lemme enjoy some tea here [emoji3]

Kumbe ulisema hvy? Wallah watu wana kumbukumbu...just let them think whatever they want..kuna raia kashanifata pm eti yupo Depal uko vzr I was like[emoji33]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…