Mkuu sikujua kwamba kuna Drostyd Hof ambayo Ni sweet!
 
Episode 2

Nipo chuo mwaka wa mwisho. Nilikuwa nasoma chuo kimoja na mdogo wangu wa kiume ingawa campus tofauti ila ni mkoa mmoja.

Weekend moja nikajikusanya nikaenda kumpa hi dogo hostel kwao kipindi hicho ndo yupo 1st year. Kufika huko nikamkuta yupo kimbwetani na wenzake wa 1st year na mademu kadhaa kama kawaida. Akanitambulisha kwa wenzake pale kama finalist lakini pia kama kaka yake, katika kundi lile alikuwepo mtoto mmoja hivi wa kingoni black beauty.

Nikaondoka na dogo lasi kwenda hostel nikafanya kilichonipeleka, mpaka mida ya saa 10 hivi nikaondoka. On my way back tukakutana tena na yule mtoto black beauty this time akiwa peke yake. Tukapiga story mbili tatu huku wakinisindikiza na dogo, sikumuomba namba wala hatukua na ahadi yoyote huyo nikasepa.

Huku nyuma alinipa sifa nyingi sana kwa dogo kuwa nipo humble na muelewa sana and all blah blah, while dogo yeye ni mtundu tena mtundu haswa. Point 3 muhimu kibindoni.

During UE exams yule demu akamuomba namba dogo akanicheki, akanipa hai nyingi na kwamba numewasusa na vile na hivi huku me nikijetetea kuwa project imenibana. Hapo hapo akili zikanijia nikasema muda ndo huu ngoja nijilipue, nikamchombeza kuwa after UE nitakuwa free so kama hatojali we can meet and spend some time before hajaenda field. Txt haikujibiwa ila nikasema sio kesi.

Ijumaa siku ya mwisho ya UE hamdani akani txt,that she is free and after one week ataenda field mbugani huko so ana siku 5 za kukaa mjini while shopping. mungu anipe nini mimi hamadi kichwa wazi. Nikamwambia j3 naenda kusubmit project so kuanzia j3 mchana we can hang out huku niki buy time roommate wangu aende kwao mkoa.

J3 mchana demu huyo maghettoni na begi lake, aisee. Tuli-toe- mber-ner siku 4 mfululizo na yule demu. Ilikuwa ni bandika bandua, kula, kuoga, kulala.
Mauno ya kingoni sio ya nchi hii. Mpaka siku anaondoka kwenda field na mimi huyo napanda basi naenda zangu mkoa.
Mtoto aliendelea kunitunuku for several times hadi nilipoanza kazi ndo nikampotezea baada ya kuanza kunipiga vibomu heavy weight.
 
"Asubuhi ya saa tatu demu anaagiza wali nyama". Hii bila shaka ni chai ya maziwa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] umenichekesha mwisho hapo eti vibomu heavy weight..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…