story yako hujaielezea mpaka ikaisha au ninikiliendelea baina yenu na demu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa unazingua kinyama mbona wengi tumekaa kimya, story za uongo kaadithie familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora asee, maana watu tuko serious...wewe ulikuwa unaleta utani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi ulianza vyema sana,sasa ukaingiliwa na wapenda sifa zakijinga watoto wa mwaka 1998 hadi 2000,mtu unaleta story za uongo kabisa,unaleta story za kwenye vijarida wakat watu wanafunguka kuleta ushuhuda wa ukwel..hawa ndio wameharibu huu uzi..Ukishaona story ina maneno mengi wala usipate tabu kusoma,kwa sababu ni chai tupu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio watoto, ni wapumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hizo ukumbuke ukumbuke zina maana gani? Ni nani ulikuwa naye wakati huo ili umwambie akumbuke? Hizi chai nazo ni shida sasa[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhhhhhh.....
hhhhhhhhhh hili kweli agano la kale!
 
Nimechoka sana, umenikumbusha mbali sana nadate na binti mmoja toka kwa jingping upenda kuniambia muafrika ni alama ya uongo, ubabaishaji, wizi, utapeli, roho mbaya na huwa anapenda haribu mambo pasipo sababu ,umalizia kwa kusema Africa is not a right place for human being to live, reasons behind because of your behaviours.
Ukiona mtu anapost uongo mara kwa mara humu jua huyo malezi yake na mazingira aliyokulia hayapo sawa.... Lete story ya kweli tuenjoy kwani watu wana visa na mikasa inafurahisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kesho saa 9 kutakuwa na harambee ya kufufua uzi
Wote mfike bila kukosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…