Haha thanks brother.

Mimi sio dactari rikiboy popote alipo heshima kwake.

Tupo tumeweka kambi hapa. Heshima kwetu wote kwa wale tunaosoma na kukoment na kwa wale tunaosoma na kulike.

Vile vile kwa wale wanasomoa bila kukoment wala kulike. Thanks

Nichukue nafasi hii kumpongeza na kumshukuru sumbai (ambaye kuna muda huwa nadhani ni Rikiboy kwenye new ID) kwa mchango mkubwa aliotoa kwenye huu uzi hadi hapa ulipo fika.

Mkuu sumbai huko kote niliko soma hakuna mtu amefuatilia huu uzi kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh....

Tutake radhi mkuu. Usije kupata korona bure

Sent using Jamii Forums mobile app
🀣🀣🀣🀣 Hamtaki kuambiwa ukweli eeh.

Wee bwana mie mwenhewe mgegedaji ila natambua kabisa huo ni umalaya. Umalaya sio mpaka eti upokee hela.

Kosa ni kile kitendo cha kegegedana kabla ya ndoa tena basi bora ufanye mara moja... Wazee tunafungua had uzi kujisifia umalaya wetu 🀣🀣🀣🀣🀣.

Wee tufanye tuu umalaya huku tukitambua kuwa hjo ni umalaya na tusikasirike tukiambiwa huo ukweli.
 
Acha ujinga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Malaya mwenyewe sababu uma.laya wako unaujua. Wengine hapa sie wazinzi tu (tunafanya uzinifu) πŸƒ
 
Uliingia topeni ulivoteleza kma kambale mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…