khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,137
- 1,380
Hongera sana. Kwa uwezo wa akili ulio nao utafika mbali. Keep it up.
mimi nimepanga chumba maeneo ya Mabibo Hostel,
aisee kilichofata hapo ni hatari........tulihamia chumbani kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepanga chumba maeneo ya mabibo hostel alafu ghafla mkahamia chumbani #Chai
Sent using Jamii Forums mobile app
Laana inawasakama huna lolotee, kula binamu si dada yako huyo!Mungu awarehemuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ficha upumbav wako.Huyu ni binamu yangu niliyekuwa nachat nae sana kila anaporudi likizo lakini hatukuwahi kuonana hata siku moja, yeye kwao Tabata Mawenzi na mimi nimepanga chumba maeneo ya Mabibo Hostel, binamu yangu huyu hatukuwahi kuonana hata siku moja zaidi ya kutumiana picha tu kwenye mtandao wa Whatsapp, jana jioni alinipigia cm na kuniambia kuwa anataka kuja kuonana na mimi so nijipange kumpokea, ilikuwa kama zali tu baada ya kufika geto alikuwa kalowa sana kutokana na mvua iliyonyesha jana hivyo asingeweza kushinda ndani na nguo zilizolowa ndipo nilipompa taulo langu , aisee!
Kiukweli huyu binamu alikuwa siyo poa yaani kajaaliwa kajazia sana ana mgongo wa haja, kiukweli ilikuwa ngumu kujizuia kumtamani kimapenzi maana tulikuwa wawili tu ndani, mtoto mashallah kiukweli , basi tulianza kwa kupiga story tu na vicheko vya hapa na pale ndipo nikamtega kwa kutaka kumkiss (busu) basi alikubali bila tatizo, kuja kutahamaki ilikuwa tayari nipo mdomoni mwake, aisee kilichofata hapo ni hatari........tulihamia chumbani kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa pamoja na kukatazwa kupigana mabusu ktk kipindi hiki wewe uko sugu kwa kuongozwa na kichwa cha chini. Tujitahidi kujizuia corona ina madhara makubwa kwa kila mmoja wetu.Huyu ni binamu yangu niliyekuwa nachat nae sana kila anaporudi likizo lakini hatukuwahi kuonana hata siku moja, yeye kwao Tabata Mawenzi na mimi nimepanga chumba maeneo ya Mabibo Hostel, binamu yangu huyu hatukuwahi kuonana hata siku moja zaidi ya kutumiana picha tu kwenye mtandao wa Whatsapp, jana jioni alinipigia cm na kuniambia kuwa anataka kuja kuonana na mimi so nijipange kumpokea, ilikuwa kama zali tu baada ya kufika geto alikuwa kalowa sana kutokana na mvua iliyonyesha jana hivyo asingeweza kushinda ndani na nguo zilizolowa ndipo nilipompa taulo langu , aisee!
Kiukweli huyu binamu alikuwa siyo poa yaani kajaaliwa kajazia sana ana mgongo wa haja, kiukweli ilikuwa ngumu kujizuia kumtamani kimapenzi maana tulikuwa wawili tu ndani, mtoto mashallah kiukweli , basi tulianza kwa kupiga story tu na vicheko vya hapa na pale ndipo nikamtega kwa kutaka kumkiss (busu) basi alikubali bila tatizo, kuja kutahamaki ilikuwa tayari nipo mdomoni mwake, aisee kilichofata hapo ni hatari........tulihamia chumbani kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona madem wabovu hawaliwi kimasihara?
Uwe unakemea pepo siku nyinginee. AhahahaaaHuyu ni binamu yangu niliyekuwa nachat nae sana kila anaporudi likizo lakini hatukuwahi kuonana hata siku moja, yeye kwao Tabata Mawenzi na mimi nimepanga chumba maeneo ya Mabibo Hostel, binamu yangu huyu hatukuwahi kuonana hata siku moja zaidi ya kutumiana picha tu kwenye mtandao wa Whatsapp, jana jioni alinipigia cm na kuniambia kuwa anataka kuja kuonana na mimi so nijipange kumpokea, ilikuwa kama zali tu baada ya kufika geto alikuwa kalowa sana kutokana na mvua iliyonyesha jana hivyo asingeweza kushinda ndani na nguo zilizolowa ndipo nilipompa taulo langu , aisee!
Kiukweli huyu binamu alikuwa siyo poa yaani kajaaliwa kajazia sana ana mgongo wa haja, kiukweli ilikuwa ngumu kujizuia kumtamani kimapenzi maana tulikuwa wawili tu ndani, mtoto mashallah kiukweli , basi tulianza kwa kupiga story tu na vicheko vya hapa na pale ndipo nikamtega kwa kutaka kumkiss (busu) basi alikubali bila tatizo, kuja kutahamaki ilikuwa tayari nipo mdomoni mwake, aisee kilichofata hapo ni hatari........tulihamia chumbani kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
duh, basi umefaidi kinoma nyama kwa nyama