Dah nilishawahi bhana nakumbuka ilikuwa ni jumamosi wakati huo wazee wameenda kwenye safari ya kikazi bungeni dodoma kwa muda wa wiki mbili nyumbani nilibaki mimi na beki tatu nakumbuka ilikuwa usiku mida ya saa mbili hiv ambapo baada ya kumaliza kula chakula cha jioni nilimwambia amalizie vipande vya parachichi vilivyobakia aisee si akajidai ameshiba. Hakuamini mzee nilipogonga maparachichi mawili na nusu tikiti
 
Watu wenye mizahaa kama nyie mnatakiwa kufa kwa corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora sie wa corona tunaweza tukapona kama kinga zikiwa imara nyie wapenda ngono inabid muondoke na ukimwi
Corona siku tatu tu nyingi unakufa UKIMWI unasavaivu hata miaka twenti bila shida unakula njugu zako deile.

So wewe ngoja ikupate ukapumzike kwa amani utuachie uzi wetu pendwa kwa amani.

sent using Simenzi mayai
 
Corona siku tatu tu nyingi unakufa UKIMWI unasavaivu hata miaka twenti bila shida unakula njugu zako deile.

So wewe ngoja ikupate ukapumzike kwa amani utuachie uzi wetu pendwa kwa amani.

sent using Simenzi mayai
Inaonekana una uelewa finyu kuhusiana na corona mkuu. Nan kakwambia kila anayepata corona anafariki ndani ya siku tatu!!?
 
Mkuu mbona kama unetoa "codes" zote jamaa kama ni "member" humu si anaweza kuunganisha "dots"?
Lakini hawezi kunidaka mimi.. maana mimi namjua vizuri lakini yeye kama ananijua ni kwa sura tu..
Na hawezi jua kama ni mimi maana identity yangu sijaielezea hata kidogo hata ghetto kwangu sijapaelezea.
 
Lakini hawezi kunidaka mimi.. maana mimi namjua vizuri lakini yeye kama ananijua ni kwa sura tu..
Na hawezi jua kama ni mimi maana identity yangu sijaielezea hata kidogo hata ghetto kwangu sijapaelezea.
its fact, ingawa nadhani
anaweza kumminya mdada wa watu akamwaga mchele.
 
Nipe namba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Ila mjomba hapo kwenda kulala kwa mwanamke ulifeli. Kwenye kikao chetu cha mwisho tulishaazimia kuhusu hilo. Kamwe usilale kwa mwanamke. Kwa hiyo investment mkuu kwa kweli ucheze mbal. Ninaona hataree mbele.
Manzi nimeanza kuweka distance.. sitaki mazoea sana sasa hivi..
 
Nilivyomla kimasihara Dada Muuza duka la nafaka

Imepita wiki sasa tangu nimle huyu mrembo wa Kinyaturu..[emoji23]

Nakumbuka ilikuwa ni wikend flani asubuhi, na-hang over ya hatari mixer njaa. Maana Pombe niliyokunywa niliitapika na misosi juu ( Kwanini wewe Konyagi hunipendi aisee[emoji22] )

Baharia nikaamka nikawaza. Nikanunue supu ama nkatoe Lock. Kura zikaenda kwa Nikatoe Lock ( Kula kitu gani banaa [emoji23][emoji23] ). Basi huyoooo ad kigrocery cha jilani..

Nikiwa njiani niliona mrembo flani akiwa dukani. Moyo ukalipuka nikajisemea ni lazima nitajaribu bahati yangu kwa huyu mtoto. Basi nikaenda nikapiga zangu Konyagi ndogo. Nikajisemea, sasa nishindwe mwenyewe tu. ( Kumbuka kichwani niko gudi [emoji23][emoji6] )

Karibu Kaka nikuhudumie. Mchele Maharage Unga Kunde .. Nk. Sa sijui unataka nini..

Baharia nikawaza. Nikamwambia nataka tufanye biashara mdada. Niwe nakuuzia maharage. Maana mie ninayo. Ni mazuri sanaa. Ya Mbeya.

Mrembo akasema. Labda uongee na Boss kaka. Mi Mwenyewe naletewaga tu mzigo mi nauza. Kuhusu kununua mi sihusiki kabisa. Labda nikupe namba za Boss..

Baharia nikawaza tena. Nikapata majibu ya fasta. Nikamwambia. Kwani bibie huwezi kujiwekea kamzigo kako ata kamoja humu dukani. Sio kila kitu hadi uambiwe. Weka kamzigo kako ata ka maharage. Pesa yake unakuwa unaiweka pembeni. Inakusaidia pia. Unakwama wapi dia..[emoji23][emoji23] ?

Kumbuka hapo Baharia sina ata punje ya Maharage getho[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nikaona mrembo anawaza kwa kina . Kisha akaniuliza, kwani we kaka unaishi wapi? Leta basi sample niyaone[emoji23][emoji23][emoji23]

Nikasema kurudi tena huku sidhani. Kwani hauwezi pata muda ukaja home kuyaona. [emoji38][emoji23][emoji23]

Akasema basi sawa. Kuna dogo atakuja kunishikia hapa. Kisha nitakuja.

Baharia nikasema.. Mambo si hayooooo sasa. Huyoooo paka getho.

Baada ya kama lisaa hivi, mtoto anapiga simu kuwa anakuja. Nikasema poa.

Nikaendelea kula zangu mziki.

Mara nipo apa kwa Mangi, uko wapi wewe. Nikatoka nikamfata hadi alipo. Haooo paka alipopaimbaga R.I.P Ngwear

Mtoto kafika mlangoni, kagoma kuingia. Nikamwambia anaweza kupita Boss wako hapa ukajiharibia kazi. Ingia tafadhali..

Huyooo paka Ndichi.

' Hayo maharage yako wapi sasa ? SWALI LA KUANZIA..

Usjali. Yapo store. Haraka za nini na wewe umekuja.. Ujue we ni mtoto mzuri sana. Ni muda nakuona ila nashindwa kukwambia. Tafadhali naomba nikukumbatie maana ni ndoto yangu ya Muda sana.........

Konyagi haijawai kuniangusha kwenye sekta km hizi.[emoji123]
 
wanawake wa ivi akili zao zinakuwaga hazina akili, sukuma ndani.
 
Kwa elimu yetu kibongo bongo bado nashangaa uyo nesi mwenye miaka 19.. Kwa nijuavyo nesi ( nurse) ngazi ya bachelor miaka 4 + na mwaka wa internship... Diploma miaka 3 na certificate miaka 2..

Sasa nesi uliyemla ww umesema ana miaka 19.. Ok tufanye uyu nesi ana diploma ya nursing . na alivyomaliza FORM-4 hakwenda chuo kikuu.. Alijiunga college akachukua diploma yake for 3 years. Apo tuache muda aliokaa kusubil kazi.. Kama alisoma diploma maana yake miaka yake.. 19-3= 16 kwaio form 4 alimaliza.. Na miaka 16.. Mmmmmh??

Mim lengo langu nijue uyu nesi kazin alikua na miaka 19 je alimaliza form 4 akiwa na miaka mingap??

Bas tufanye uyu nesi level yake ya elimu ni degree ya nursing.. Ok form 5 & 6 miaka 2 jumlisha na 4..ya chuo pamoja wa internship = miaka 6 apo tufanye alivyotoka internship tu akaajiliwa..!! Na tufanye pia Jkt hajaenda.. Kwaio miaka yake ( 19-6) sawa sawa na 13.. Kwaio kama elimu yake.. Ya nursing ni level ya degree.. Bas alimaliza form 4 akiwa na miaka 13.. Na alianza chuo kikuu akiwa na miaka 15 ( ukichukua 13 na ile miaka miwil ya advance)

Bado nachelewa story yako kuiita Chai huenda upo sahihi ila kwnye umri wa nesi umetudanganya.. Au vice versa.. Na huenda pia wapo wanaoanza shule mapema kiasi icho labda mm tu ushamba wangu..

Bado nesi wa miaka 19 kazin ananivurugia hii story sana....

Nawasilisha... By caglar soyuncu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Au labda mzee baba umechanganya huenda alikua sio nesi ni wale wahudumu wengine tu wanaokuaga hospitalini kama maeneo ya CAFETERIA na wanahusika na Usaf.. Apo naweza kukuelewa lakin nurse kabisa kaajiliwa then umri wake 19 miaka.. Aaah apo natia shaka mifumo yetu ya elimu inajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumaliza form four miaka 16 ni kawaida kabisa. Watoto wengi wa kike wanaanza shule wakiwa na miaka 5. Unafikiri form four atamaliza akiwa na miaka mingapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…