Khaaaa huu mwandiko....!

Eti piga u turn...
komesha korona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
komesha korona
 
Huu uzi una CHAI yaani kuna watu hawaoni aibu kutupiga kamba.
Lengo mojawapo la JF ni kuburudisha na kwenye mada ambazo hazihitaji hard facts wala ushahidi kama hizi wengine wanachukulia kama nafasi yao ya kuchekesha na kuburudisha. Hata kama ni chai unakwenda nayo tu kwa sababu haikuongezei wala kukupunguzia cho chote. Siyo kila kitu ni siriazi kihivyo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Story tamuuu halafu unataka kuidodosa mpaka iharibike. Acha tuburudike tu bana kwa sababu mwana kajitahidi sana kuiwasilisha [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kama kazi ya fasihi mkuu
 
Wewe na kaka zako kweli mlikuwa mabaharia!. Eti wamekula hela zetu ila wanakutaka wewe, ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we bwanamdogo unajua kusimulia nimecheka, we ni dizain ya wale madogo wenyw fix sana yan mtu asikupe muda wa kujieleza.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
heee jaman we mkaka njoo pm haraka,jamani kitambo sana.

Acha ufala Mimi sio nyamshepu,mm ni siasa mbaya sana.
 
Mna machaguo mawili tu ya kuweza kujikinga na corona. Moja acha kabisa kushiriki ngono na mtu msiyekaa naye nyumba moja.

Pili, ukilazimika kufanya hivyo, basi hakikisha nyote mmevaa barakoa (hapa usiniulize utapumuaje) na muwe mmejisanitaizi mikono. Vinginevyo mnajiweka katika hatari ya kuambukizana ugonjwa.

Ni maoni tu jamani, msinitoe jicho kwa mapovu.
 
Joto la mapenzi haliwezi kumuacha virus wa covid salama. Cha kuzingatia zima AC/Feni kama ipo. Jitume shughulika kama hutashughulika tena!!!! chemsha mwili, acha uvivu..... team magogo mpooo
 
Joto la mapenzi haliwezi kumuacha virus wa covid salama. Cha kuzingatia zima AC/Feni kama ipo. Jitume shughulika kama hutashughulika tena!!!! chemsha mwili, acha uvivu..... team magogo mpooo
Daah!, Umenivunja mbavu kijana. Amaa kweli, jamiiforum ni sehemu nzuri sana ya kutibu msongo wa mawazo.
 
Joto la mapenzi haliwezi kumuacha virus wa covid salama. Cha kuzingatia zima AC/Feni kama ipo. Jitume shughulika kama hutashughulika tena!!!! chemsha mwili, acha uvivu..... team magogo mpooo
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...
Bila shaka wachina walifanya hivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…