Tupumzishe basi mzee mbona ivyo gahawa nyingi mno
 

Chai haina sukari.
 
Hii chai,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uongo wa kitoto, ni ngum kumdanganya mtu mwenye akili coz anatumia lugha ya picha, na kama kitu akiwezekani hii chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mikito mikito
 
Chai ya watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naaaam mkuuu mikito mikito.

Yani kila nikiona comment yako naona kama chai tuu kumbe umeandika inshu sirias
komesha korona
 
Balimi kwa kanda ya ziwa mwaka 2000 ilikuwa sokoni. Nakumbuka July 2000 tulihudhuria mashindano ya ngoma pale uwanja wa nyamagana, wadhamini wa mashindano hayo walikuwa ni balimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…