Mkuu tuvumilie warudi vyuoni wakapigwa paper labda watatupumzisha aise! Watoto wanadanganya utadhani wanasimiliana movie za kihindi!

Sent using kidole gumba

siku hizi imebidi nihamie twitter kwa muda maana humu chai zimekuwa nyingi mno...mabishano bila hoja ilimradi kila mtu achangie tu
 
Hii ni chai Jaba kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaa rest assured mkuu,

wazeee wa viwango tupo, we are testing , double check , then test again validity ya story.

Uzi leo umepata kutembelewa na mabazazi yaliyo kubuhu. So far sijaona aliyeongopa Ila japo Kuna chumvi za hapa na pale.

Sent
Mkuu hukubahatika kula kimasikhara watoto wa kizulu? Lete story
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wahuni wanaongelea UTI kwamba inapatikana kwa njia ya ufirauni ngoja niwaweke sawa.
Nakumbuka miaka kama mwaka 2016 nilienda Masasi. Nilipata nafasi ya kufanya field benki moja huko. Si unajua mambo ya chuo tena. Uzuri nilikuwa nakaa kwa Mamdogo angu sasa kuna beki tatu mmoja analeta mambo ya ajabu.
Aisee madem wa Masasi wengi wame ungua coz vitoto vidogo vina anza haya mambo mapema. Kiufupi tamaa sana kwa dada zetu.
Okay tuje kwenye mada ya UTI. Yule beki 3 alinipa UTI ya kipekee. Nilipo fuatilia hospital nikaambiwa
1. Uchambaji wa mwanaume na mwanamke ni tofauti. Wanaume tunachamba kutoka mbele kuja nyuma. Ila madem wanachamba kuanzia nyuma kuja mbele. Nyuma kuja mbele akiosha K ila mbele kuja nyuma akiosha tako. Kama dem hachambi vizuri basi mzee baba jiandae upate UTI safi kabisa.
2. Dem anaye practice anal sex bila kusafisha vizuri sehemu zake basi ni rahisi kumuambukiza mwanaume ataye sex nae. Hii inatoka na pale anapo fanya anal sex uume wa mwanaume unapohama kutoka kwenye mk** kuja kwenye k unahama na vijidudu. Alafu baada ya kufanya huo ushenz haji safishi vizuri.
3. Vyoo vikiwa vichafu ni rahisi kwa mwanamke kupata UTI. Hii inatokana na maumbile ya wanawake jinsi yalivyo akiwa anakojoa. Mkojo unakuwa unaruka hivi na kusambaa. Mwanamke akichuchuma njia zake zinakuwa wazi hivo vijidudu ni rahisi kuvipata.
Kama hujaelewa itakuwa ni ujeuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nina mikasa mingi ya kula kimasikhara japo mingine kimtindo ilinibidi nifosi ila mwisho wa siku nilifanikisha na mmojawapo ni huu,
kulikuwa na beki tatu wetu nilikuwa namuelewa sana ila kutokana na kunizidi umri akanikataa ikawa nakula kwa macho tu.

sasa kuna siku moja mida ya jioni nilienda geto kwa rafiki zangu nikakuta wamenunua ulanzi mwingi hivyo nikapewa kikombe nijisevie (ni mkoa mmojawapo wa nyanda za juu kusini) kama mnavyojua mliowahi kuonja Ulanzi jinsi ulivyo mtamu nikajikuta nimegida vikombe vya kutosha tu nikaanza kuchangamka nikaongeza tena na tena mpaka nilovyojisikia sasa kweli nimetinga maana nilikuwa nacheka tu sasa zilivyoanza tu stori za mademu rafiki zangu wakawa wanahadithiana jinsi wanavyobunyua mademu ghafla likanijia wazo konki sana ambalo ndio lilinifanye nile tunda kimasikhara.

Yule Beki 3 alikuwa anapenda kuangalia hizi tamthilia za kizungu ITV ilikuwa inaoneshwa kuanzia saa 4 so nilichofanya nikasepa kwa wana moja kwa moja mpaka chumbani kwake nikazama uvunguni kisha nikavunga, ilikuwa kwenye saa 3 hivi nilikaa mpaka tamthilia ilivyoisha na kama unavyojua pombe mkojo ulinibana hatari ilinibidi nikojolee kwenye vikopo vya mafuta vilivyokuwa uvunguni baadhi ya mikojo ilitiririka ila angalau nilipoza kibofu.
Ilivyoisha tu akarudi kisha akavaa khanga akaenda kuoga wakati huo nimenyuti tu chini ya uvungu namchora mpaka akamaliza akarudi akafunga mlango na funguo akavaa nguo akapanda kitandani akazuga zuga we mwisho nikasikia kimya nikahisi kalala ila bado nikasubiri kama dakika 20 hivi ndio nikajivuta taratibu nikachomoka uvunguni

kama unavyojua wadada, hakuzima taa ila aliweka shuka juu ya neti ili kuziba mwanga hapo nikavua nguo nikabaki na bukta kisha nikapanda kitandani ile kumlalia hivi akazinduka na kushtuka kuniona, akashangaa umepita wapi mi nacheka tu wakati huo nanuka pombe balaa sasa nikaanza omba mchezo hataki, naomba hataki nikaanza touch mpaka kalainika kabisa nikavua mpaka nguo zote ila kila nikitaka kuweka shimo silioni

aisee nilihangaika mpaka nataka kumchana miguu kwa kupanua lakini kila nikiweka shimo silipati dah yule demu akawa ananishangaa tu navyohangaika kila nikijaribu wapi kumbe sijui naweka juu ya ngozi kumbe mali ipo kwa chini hivi basi demu akawa anastaajabu tu, baada ya kuhangaika sana ghafla tu nikasikia imo imepitiliza aisee nilihisi nyota nyota maana si kwa joto lile nilijiisije hata sijui nikajikuta napeleka moto mpaka nilipofika mwisho napo nilitaka kuzirai kwa raha niliyojisikia na ndio ilikuwa mara ya kwanza kabisa kuonja demu.

raundi ya pili sikupotea njia nilishajua jinsi ya kupekenyua ili kuipata hivyo ilikuwa kazi kazi nilivyomaliza tu usingizi ukanipitia nilikuja kuamshwa saa 11 alfajiri na beki tatu nisepe ila mi najisikia nimechoka hatari ilibidi niondoke tu

sitasahau hili tukio ever maana ndio mara ya kwanza kuonja papuchi na alikuwa kanizidi miaka 12, baada ya hapo nilipewa tena na tena mpaka nilichoka mwenyewe popote ulipo 'T' asante kwa kunifundisha maujanja yote haya. siku tukikutana lazima tukumbushie ili uone jinsi na mimi sasa hivi nilivyo fundi.


aim for the stars
 

Hapana mkuu ,, sio muhuni ila masikini
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama kwa kituko kwetu itakuaje sasa
 
Hawa jamaa hawaelewi UTI nilipataga.kwa demu wangu kwa Mara ya kwanza nilikoma.

Nikahisi nimepewa ngoma.

Iliniendesha hatari

Hadi leo sitaki kusikia habari za kavu kavu yaani sitaki kusikia kabisa Mambo ya kavu kavu sitaki kwa kweli nimekoma.mimi nimekoma sana[emoji45]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: mij
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…