Hii dibate ya UTI ni nzuri ila inajaza tuu comments. Ingekuwa vema wadauwake wanaotaka maarifa zaidi waweke kule kwenye jukwaa la hayo mambo.

Vinginevyo uzi unapoteza radha.

Twende na visa vya kimasikhara tuu.

komesha korona
 
Chai
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ninja kama ninja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi pendwa kwa mara ya kwanza na comment

Mlete na mrejesho wa
1 ukimwi
2 kaswende
3 Gono
Story ziendelee
Hayo ni masuala binafsi, uzi unazungumzia namna watu walivyokula tunda kimasihara. Unaweza ukafungua uzi wenye dhumuni Kama hilo.
 
Umetisha sana kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia nimemaliza form 4 nikiwa na 16 yrs, hapo nilihama shule baada ya kumaliza std 3 badala ya kuingia std 4 nikaanzia std 2, nikisoma chekechea miaka 2, ila niliishia std 6 nikaingia form 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…