dadek ni hatar haya mambo!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwamba kwel ulimla kimasihara
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika maisha hakuna kitu ambacho uwa kinaleta mshtuko kwa sisi mabaharia kama kutongozwa na demu mkali ambae na wewe ulikuwa unajiandaa kumtokea live, ilikuwa jumapili moja nipo zangu mtandao pendwa wa instagram naperuzi kwenye page ya mmakonde Harmonize Temboo, sasa nakumbuka Harmonize alikuwa amempost Ibrah yule msanii wake na mimi nikakomenti hivi nakumbuka nilikomenti, "daah huyu dogo anajua sana", sasa baada ya kukomenti haijapita hata dk tano mara naona demu kaja ku reply, " sanaa mimi nampenda", mwisho wa kumnukuu , basi ikabidi nimfuate Dm tukapiga stori mbili tatu akaniambia yeye yupo Zanzibar ila anatajaria kuja dar baada ya wiki mbili hau tatu, hakika ni bonge moja la demu shepu kama lote kiukweli ameumbika kila idara, basi siku hiyo hatukupeana namba za simu, ikapita kama wiki mimi sijaingia insta kutokana na ubussy wa kazi sasa siku naingia insta nakuta kanidm anasema , "NIMEKUMISS SANA", nikamwambia mimi pia nipe namba zako ile nimekaa haijapita hata dakika mara sms hiyo mtoto katuma namba nikamwambia poa basi nikazisave sikumtafuta zaidi ya siku5 nikawa na mambo yangu, inshort wanawake wazuri hakuna kitu wanaumia kama wakupe namba halafu usiwatafute uwa wanajiuliza sana maana wanawake wanapenda sana kushobokewa sasa ukiwa mtu usie penda shobo utawafuna sana😊😊

Ile nakuja kumpigia akaniuliza nani nikamjibu mimi J, akaanza kulalamika ooh kwann umenidharau nimekupa namba hata kunitafuta, ikabidi nimpige uongo na kweli mtoto akaelewa, kukatisha stori aliniambia anakuja dar mda sio mrefu nikamwambia sawa basi siku sio nyingi mtoto akaja dar aliniambia anakuja kwa dadaake anakaa Tabata, mimi nipo mombassa pale so sio mbali na tabata, basi kweli akaja dar tukawa tunawasiliana tu kawaida hapo bado hatujaonana, atimae siku moja akanipigia akaniambia unaishi pekeeako? Nikamjibu ndio, akasema kesho nakuja nitakuwa mgeni wako, daah nikajikuta napagawa nakumbuka siku hiyo nilikuwa na furaha isiyo ya kifani hata usingizi hauji, mara asubuhi hiyo, mtoto mida ya saa4 akanipigia ndio nataka nije, nikamwambia ukishuka mombasa niambie nije nikuchukue akasema poa, mzee mungu sio Juma mara baada ya mda mrefu kidogo sms hiyo nishafika, daah kidume nikakodi boda fasta, by the way nilipo na stendi sio mbali ilichukua dk 7 nikafika stendi sasa kazi ikawa kumtafuta kwa macho, katika kuangalia pale stendi kulikuwa kuna wadada watano sasa japo sura yake najua ila nilitaka kuona nae atanitambua haraka, mara nikamuona anatabasamu ,

#note#

Hatuwahi kuonana zaidi tu ya kuonana instagram,

Mtoto akaja hadi pale nilipo, mambo?, mimi poa nikamtania kumbe upo makini akacheka yeah ulijua sitakujua eeh, basi hao tukakodi boda hadi magetoni, kiukweli nilikuwa naona kama ndoto sikuamini kama kweli J nimepata toto kama ili, tukiwa gheto sasa nikawasha jiko fasta nikaanza kukaangiza mazaga, mtoto alikuwa yupo sebureni amekaa tu kWenye kochi anaangalia video, by the way nina ka tv kangu kadogo kakuzugia, basi msosi ukaiva nikamkaribisha, tukawa tunapiga msosi kila nikimcheki mtoto macho yote kwangu ananiangalia kimahaba, daah mtoto sura kama malaika, yani kimoyo nikawa nasema huyu jini nn maana sio kwa uzuri ule, baada ya kula, tukawa tunapiga stori hapo sijamtongoza,

Mara mtoto anaanza kuniambia J na jambo nataka kukwambia ila naona aibu,

Itaendea
 
Hahaha mtoto wa maduhu whaat a handwriting!! Bravo stori imetulia na peni umeishika vizuri.
 
KUMLA KIMASIHARA MAMA WA MWANAFUNZI WANGU.

Baada ya kumaliza Chuo Kikuu nilibahatika kupata shule ya kujishikiza huku nikisubiri kupata ajira ya Serikali kama ilivyo kwa wahitimu wengi ambao hatuna akili za ubunifu. Elimu ya Tanzania, haichechemui, Wala kuamsha ari ya ubunifu wa kujiari.

Unaanza primary na Kinjekitile Ngwale na unamaliza form Six na Kinjekitile Ngwale, Chuo kikuu bado unamsoma kinjekitile Ngwale ili akusaidie kujikomboa kimaisha. Mawazo ni kuajiriwa tu. Ndo maana hata Mawaziri wanalia, na kujipendekeza ili wateuliwe upya, kwa sababu maarifa mengine nje ya siasa ni hayapo. Tumezoea kunyonga, kuchinja ni ngumu.

Anyway, nikiwa pale shuleni bahati nzuri nikapewa Ofisi. Ofisi ambayo Mzazi Kama kweli umeleta mtoto wako kwa ajili ya kusoma, lazima unifahamu au ukija shuleni lazima upite ofisini kwangu. Kama umefika shuleni na hujapita kwangu maana yake, umemleta mwanao kufuta ubao.

Hii ofisi ukweli ilinipa umaarufu Mkubwa.Hadi nikaanza kukumbuka nyimbo ya Prof J, jina langu linavuma kwenye mitaa, wengine nawajua, wengine siwatambui, jina langu. Lugumya tunakuzimia, jina langu. Katika ofisi hii ndo nikagundua kuwa kisigino hakivaliwi mbele, na kwamba ni ngumu kukuta mfupa kwenye mshikaki, labda Mara kwa sababu ya ujasiri wao.

Ilikuwa ni blue Monday, lilipokuja gari aina ya PRADO shuleni, na akashuka dada mmoja mzuri Sana. Sikuwa na namfahamu. Aliingia kwa Headmaster, baada ya muda Headmaster alimleta ofisini kwangu. Akanitambulisha, akatia na mbwembwe kwa kumwambia huyo ndo mwenye shule Sasa. Bila huyo (Lugumya), hii Taasisi haina maana. Wakati hayo yanaendelea mimi nilikuwa natabasamu, nikitamani nimtunuku Headmaster PhD ya Heshima, kama ile ya Jakaya.

Wakati wanaingia nilisimama, kwa heshima kubwa. Nikatabasamu, nikawaambia karibuni kwa unyenyekevu Mkubwa zaidi ya ule wa Lijualikali, alipokuwa akimwomba namba spika ili akipige Chama la Wana. Hivyo baada ya utambulisho, Headmaster aliondoka, na kutuacha na yule dada mzuri.

Nilimkaribisha upya, nikamuomba akae kwenye kiti Cha Wageni, yale mabenchi ya special ya chuma Kama ya benki. Alikaa akasema ahsante. Nilikuwa naandaa notisi zangu kwenye desk top computer ya Ofisi, ikabidi niache nikaenda kukaa nae kwenye benchi la Wageni, ili nisimsumbue mteja wangu mzuri kuongea kwa sauti kubwa. Nilionyesha kujali Sana, hapo hapo nikamtumia meseji muuza duka la shule alete mirinda nyeusi. Fasta imeshakuja, ikafunguliwa.

Mara mdada wa Watu anaanza, mmmh jamani. Nikamwambia usijali. Karibu dada, feel at home. Nyie ndo wateja wetu, na nyie ndo waajiri wetu. Jisikie huru na tarajia kheri. Karibu nikuhudumie Sister.

Akasema ahsante, na kunishukuru kwa ukarimu wangu. Akaniuliza Maendeleo ya mwanae, nikampa kwa kutoa kichwani, ili ionekane niko nae karibu, kumbe wapi? Nitakariri Wanafunzi 1000+ nimekuwa Magufuli kwenye kilometa za barabara?. Hahaha wapi thubutu. We are here for season. Japo ukweli ndo lilikuwa jukumu langu.

Baada ya kumweleza Maendeleo ya mwanae kwa ufasaha, alifurahi Sana. Nikampa mkono, akanipa mkono. Tukatizamana usoni kwa tabasamu. Akasema ahsante Mwalimu. Nami nikamwambia ahsante, mama.....! Tukaachiana mikono, nikarudi kwenye kiti changu kuendelea na maandaliz ya notisi zangu.

Nilivoinuka, akanambia Mwl umependeza. Ukweli siku hiyo nilikuwa nimevaa mchongoko, suruali ya model, na koti single button, na tai. Shortly nilivaa suti( ila si kama ile inayomweka Idrisa Sultan ndani, msije mkasema wasukuma ndiyo swaga zetu). Nikamashukuru, nikamwambia mi niliogopa kumsifia, lakini kwa kuwa ameanza, basi ngoja nimpe sifa zake. Nikampa, za kweli na za uongo! Kwani shilingi Wajumbe! Ukweli niliona anafurah, akaanza kurudisha nywele zake nyuma, huku meno ya mbele yakionekana.

Huyu dada alikaa ofisini Kwangu, saa mbili, tumehama Hadi kwenye topic, mi kazi kumchekesha tu. Baadae akasema Mwl! Nikasema Yes, you have made my day. Nikasema ahsante, lakini hata wewe umeasha ari yangu ya kufanya kazi. Ahsante kwa busara na uchangamfu wako.

Aliniachia elfu 20,000 akanambia, pliz take care of my daughter! Nikamwambia, mama....keep your memory out of worries, am here for you and you alone. Akasema thank you! Bye Sir! Bye Madam. Nikaamka kumsindikiza, oooh, your number pliz? Nikamtajia. Akaandika. Tukaenda Hadi kwenye gari lake, akaingia akaondoka. Nikarudi ofisini.


JIONI MIDA YA SAA KUMI.

Nilipokea sms kutoka kwake. Akajitambulisha. Okay, tukachati. Akanambia kwani unakaa wapi? Nikamwabia Mtaa, kumbe hata yeye ni mtaa wa Jirani. Basi akanambia anapfahamu hadi hiyo nyumba ninayokaa. Na mm akanielekeza anapokaa, nikapafahamu. Nikamwambia bado nipo naweka Mambo yangu sawa, saa kumi na mbili nitakuwa home. Akanambia powa, bye Sir. Nami Bye!


SAA MOJA NA NUSU USIKU.

Sms iliingia, Sir umesharudi, nikamwambia ndiyo. Nipo Madam. Akanambia pouw. Nikatulia nikimalizia kuangalia taarifa ya Habari Chanel 10. Mara sms, niko hapa nje. Duuh, nikaenda kumfuata, nikaingia nae getho. Kichwani, Wimbo wa matonya, ukawa uniijia, siamini macho yangu, Kama Leo umekuwa wanguuu, siamini fikra zangu, Kama leo ndo....moyo wangu. Mtoto mzuri kuwaacha wenye gari na mapesa, ukaamua kuja kwangu kunilizaa, yayayayayah.

Mara ya Moto band, na Kisima Cha Kijiji nikiwekee uziooo, najua wanipenda, Mimi mwana wa mwenzioo. Manyimbo mengi mengi yalikuja. Nikamwambia karibu madame, akasema ahsante. Soda gani, akasema Kama ya shuleni. Hahahaha, nikaifata, nikanunua kabisa na Kondom huko huko, nilivoingia nikafunga na mlango, nisikie anavyosema. She was silent utafikir kapata mkwara wa monitor or monitress juu ya wapiga kelele.

Alikuwa kavalia bonge la kimini. Ananukia balaa. Ukweli akili ilinambia, kaja kwa ajili ya mkuyenge. Hivyo, ilikuwa nitest mitambo tu, then, aliwe.

Soda naona haiendi, nikamfuata kwenye kochi alilokuwa amekaa, nikamsogelea karibu kabisa. Nikamnong'oneza kitu sikioni, lengo likiwa nimpumlie, akijikunja nimlambe sikioni. Kweli nikafanikiwa. Nikazungusha mkono, kuelekea kwenye ziwa Turkana, nikashika kwa juu, kidogo nikashusha kwenye band ya chuchu sound. Naona anajikunja kunja tu. Akanambia naomba nimalizie soda yangu kwanza basi. Sikumpa hiyo nafasi.

Nikapeka mdomo nikapiga denda, akatoa ushirikiano zaidi ya ule wa Kenya na Tanzania kwenye mpaka wa Namanga, na Kule Tanga. Dada alikuwa mzoefu hatari, tukachezeana, hadi nikapizi sijaweka. Sikukoma kumchezea niliendelea, kumchezea na yeye hakutaka kushindwa. Ilikuwa ni mchuano mkali zaidi ya ule wa Trump na China kwenye vita vya Covid-19.

Mara kitu, simama dedeee, nikupe mkateee. Naona Kama ameshakojoa, nikaweka kitandani kula balanced diet. Mtoto anacheua tu. Saa nne yupo geto, kipindi tunaendelea na shughuli Mara kitanda changu sijuii zile chaga zilikuwaje wajumbe wangu wa Kikao, nilishtukia tu chini putuuuuu! Yaani kwa nguvu! Hadi nikasikia mpangaji mwenzangu nje anasema teacher polepole.

Ghafla mwenye nyumba, akaja dirishani, anasema teacher, umekuaje? Nikamwambia nilikuwa napanga madumu moja ndo limeanguka. Akanambia, dogo hata sisi tulipita huko. Kama unaona show zako ni za kiwango Cha Lami tafuta kitanda Cha chuma. Hahahahah, show ikaishia palepale, akavaa, akanyata, nikamtoa. Alivofika akanambia. Tukaagana kwa kicheko kuhusu chaga.

Kesho yake, alinitumia elfu 70, akanambia tengeneza chaga, uweke imara. Kweli nikafanya hivo. Tuliendelea kulana, hadi nilipohama kwenda mkoa mwingine wa mbali. Hatuna mawasiliano Tena.

Sina hakika Kama Kuna kiporo Tena kuliwa, maana Sasa ni miaka takribani 10+.

NB. Mtoto wake alifaulu kuendelea na form V hapo nikajiongezea credit.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si umalizie sasa
 
sijajua ina impact gani labda kwa hao wenye msimamo unaowasema ila kibongobongo dini haina effect sana, mimi ni christian lakini nikiangalia hata historia ya niliodate nao waislamu ni wengi na sijawahi kataliwa kisa dini na huwa najitambulisha kwa jina langu halisi

aim for the stars
 
[emoji1787]We jamaa nikupe saluti aisee, unajua kusimulia. Ila huyo mwenye nyumba naye kavu
 
Weee jamaa fala Sana.. eti chaga hujui zilikuwa zimekuwaje.... Hehehe.... Hii chai lakini ipo makini. Naona tangawizi ipo kwa saizi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenichekesha your a good orator
 
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄 We jamaa Tuandike riwaya sasa
 

Daah..aisee unajua kusimulia nimebaki nacheka tu...leta stori nyingne hata kama ni chai maana unajua kusimulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…