We kijana hii tabia ya kuchekesha watu wazima umeanza lini? Kudos!
 
Vijana wafuga rasi watakuonea wivu kwa kupata hilo zari...Wao hayo ya hivyo yamekauka kule kwao hadi wameanza kunyoa.
 
Aisee, Makengeza yaani
 
wewe ni ndugu yake Mikito Mikito
 
Hahaaa ww ni fwala kudadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunywe nini sasa hapo, mbona sijaelewa?
 
malizia hiyo stori
 
Umemaanisha maji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…