Member Since May 2020
 
[emoji16]Dah sasa kama alijua jamaa ana show ya kibabe aliuliza kwanini?
Sentensi iko hivi " Kama unajua kiwango chako ni Cha lami, tafuta ....za chuma" . Hakuna sehemu inayosema mwenye nyumba anajua kiwango halisi cha msimuliaji kunjunja. Yaani hata yeye hajui.

Aidha, katika simulizi msimuliaji hakuna sehemu amesema chaga zilidondoka kutokana, na show ya kibabe. Ukiendelea kusoma utagundua kuwa chaga hazikuwa imara.

Kama angekuwa anakijua hicho kiwango cha kibabe asingeuliza au angesema hivi" najua kiwango chako ni Cha kibabe, chongesha kitanda Cha Chuma tu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umetumia zaidi ya hamsin, bado unaita ni masihala!!? Aaah bana acha utani mkuu.
 
" nilimkuta anamalizia kufua amevaa kanga juu bra.................. Alisema havaagi bra sabb matiti yake madogo" aisee akili yangu imesimama kabisa ikashindwa kung'amua ila no way tusonge na Uzi tu.
 
mkuu unamfahamu Mikito Mikito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…