[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna mkate mgumu mbele ya chai! Nimekuelewa[emoji119]
 
Wajumbe mpoo? Mna nafasi niitishe kikao leo jioni? Kama una nafasi gonga like!

Ila siwezi kuwaacha hivo tu, nawaacha na kibwagizo,

"....Lugumya, naomba usikie maneno ninayo kwambia, ni leo tu, lakn natamani niombe talaka. Ulikuwa wapi baba, naomba uniongeze viwili tena kama hiki Cha kwanza. Alama na kumbukumbuku ulonipa leo, haiwezekani kufutika Moyoni. Na Kuanzia leo, Mshahara wako utatoka Laki 8 hadi Milioni 1 na laki 3.....!

Nani alinambia hivo, tukutane kazini!!!!

Chukua tahadhari, Covid-19 bado ipo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
A new version of Mikito Mikito in the making

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee, Mambo hayo
 
Mwamba atakua mlefu mweupe na ndinga analo
 
Unajua nilichokilenga? Ninachomaanisha huyo mwenye nyumba anajua kinachoendelea ndani na kauliza, ndiyo akamalizia kuumbua amedangamywa. Akisema kapitia, ndiyo nikauliza kwanini aliuliza wakati anajua.

Hayo mengine umeongeza wewe, kiwango cha lami na show ya kibabe ni kitu kilekile kinasemewa. Nimetumia lugha yangu tu kuieleza vingine
 
hahahaha picha linaaanza Ila kama linaisha vile balaa lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…