SELF QUARANTINE ilimaliza kila kitu sahv tumerudi upya kitaaHuu uzi unakuwa kama unaisha hivi,halafu ghafla unaibuka upyaaaa kama unaanza
Sent from my SM-N920F using JamiiForums mobile app
Kwani ukinyamaza utageuka kuwa James Delicious? Mengine kaa kimya kama hayajakupendeza, waache waliyopendezwa nayo waburudike. Hii ndiyo sifa pekee ya uanaume. Hakuandika usome wewe pekee, bali umejileta mwenyewe kuisoma.
JF this is where we dare to talk openly...siwezi kunyamaza hayo ni maoni yangu usiingilie uhuru wangu wa kutoa maoni.Kwani ukinyamaza utageuka kuwa James Delicious? Mengine kaa kimya kama hayajakupendeza, waache waliyopendezwa nayo waburudike. Hii ndiyo sifa pekee ya uanaume. Hakuandika usome wewe pekee, bali umejileta mwenyewe kuisoma.
Naww usiingilie wa wengine wa kuwafanya wakose uhuru wa kujiekeza hapa. Kama chai waachie wenyewe, si wapo huru naoJF this is where we dare to talk openly...siwezi kunyamaza hayo ni maoni yangu usiingilie uhuru wangu wa kutoa maoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu atasamehe mbele kwa mbeleIla huu uzi wakuu dah....
Yani umefadhiliwa kukaa usome tushen unaanza ushenzi.
Ulisha tubu hii dhambi?
Naaaam.... nimeagiza pop con nasubiri mastoriiWajumbe mpoo? Mna nafasi niitishe kikao leo jioni? Kama una nafasi gonga like!
Ila siwezi kuwaacha hivo tu, nawaacha na kibwagizo,
"....Lugumya, naomba usikie maneno ninayo kwambia, ni leo tu, lakn natamani niombe talaka. Ulikuwa wapi baba, naomba uniongeze viwili tena kama hiki Cha kwanza. Alama na kumbukumbuku ulonipa leo, haiwezekani kufutika Moyoni. Na Kuanzia leo, Mshahara wako utatoka Laki 8 hadi Milioni 1 na laki 3.....!
Nani alinambia hivo, tukutane kazini!!!!
Chukua tahadhari, Covid-19 bado ipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila watu dah...Mungu atasamehe mbele kwa mbele
@mikitomikito na huyu nahisi wana dna znazofananamkuu unamfahamu Mikito Mikito
mkuu Boiker ulikuwa unamuulizia Mikito Mikito .???...huyu hapa na id mpya,hope umemuonaWajumbe mpoo? Mna nafasi niitishe kikao leo jioni? Kama una nafasi gonga like!
Ila siwezi kuwaacha hivo tu, nawaacha na kibwagizo,
"....Lugumya, naomba usikie maneno ninayo kwambia, ni leo tu, lakn natamani niombe talaka. Ulikuwa wapi baba, naomba uniongeze viwili tena kama hiki Cha kwanza. Alama na kumbukumbuku ulonipa leo, haiwezekani kufutika Moyoni. Na Kuanzia leo, Mshahara wako utatoka Laki 8 hadi Milioni 1 na laki 3.....!
Nani alinambia hivo, tukutane kazini!!!!
Chukua tahadhari, Covid-19 bado ipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni mtu mmoja mkuu,sema kabadili aina ya uandishi@mikitomikito na huyu nahisi wana dna znazofanana
Wengine mlibaka dah sio kwa masihala jmn, mfano mtu mwenye mapepo unamfunga kamba hiyo ni rape kabisa
Nimecheka sana baada ya kusoma comment hii maana ndio nimetoka kudindishaHuu uzi una kamba kibao, halafu ukiusoma lazma udindishe