Daaaah, aiseee! Nimehuzunika Sana. Chukua namba yangu, akiwa anakuletea nyodo, unanitext! Sawa Mdogo wangu Uta Uta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku niko round round nikakutana na mdada umbe lake lilinivutia kwa nyuma.
Mwemba hana chura kihivyo ila figure yake nzuri. Niliogopa kumsemesha kwa kuwa nilihisi mke wa mtu kwa alikuwa anatembea mdogo mdogo mbele ya nyumba nyumba. Mi nikampita nikaenda zangu. Ghafla kuna jamaa akanipigia simu nimesimama naongea na simu akanipita, naondoa pikipiki akaniomba lift kumbe si mkazi wa maeneo yale. Nikachukua namba yake ila ilikuwa mida ya mfungo nikampotezea, unajua tena mida ile huchelewi kudaiwa nguo ya sikukuu.
Leo nimvutia waya ananilaumu siku zote nilikuwa kimya.
Mi nilichofanya nikaomba msamasahama namba niliisevu vibaya, nikamwambia jioni nakuja kukufata tuje tusheherekee idd yetu, akaniuliuliza kwa hiyo nilale huko huko. Na mi nikamuuliza kwani umesikia mi nalala nje, akajibu sijui nimemwembia utakuja kupaona nnapolala. Hapa nipo na robi kila ya karanga, tende, kweme, nazi na mihogo mibichi nasubiri saa 12 jioni nikachukue mzigo kimasihara
Hawa mademu ukijifanya mr love,au mapenzi ya Romeo na Julieth utaishia kuliwa vyako tu badala ya kula tunda
 
Hapo kwenye rais unamaanisha wa wapi
Huyuhuyu?
 
Hshahahahah Uta Uta papuchi zipo kaka, muhimu mdomo wako na kihela kidogo Cha Lodge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha baharia umetisha mzee, nakutunuku shahada ya Uzamili katika sekta nyeti ya pasi za kumalizia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Mchango wako umeokoa sana vijana ambao walikuwa hawafanikiwi kuona mlango wa kipa.
 
Hapo unakuwa unayumba sana kijana unaonesha hujaiva kwenye pasi za kumalizia 🀣🀣🀣!

Yani unabaki na kipa halafu unapaisha??? Kuanzia leo shika huu mstari.

"Akijileta magetoni ameisha" Baharia 21:5

Tafsiri yake ni kwamba, mwanamke hutakiwi kucheka nae akija sehemu ya faragha kukufuata japo anaweza akaanza maringo na kujifanya hajaja kwa mambo hayo au anaomba mfanye siku ingine usimsikilize. Hio ni asili yao ila wewe amini kwamba amekuletea mzigo utafune mzee. We tumia mbinu yeyote tu ila rahisi ni kumtia sound huku unampiga touch touch mwisho lazma atalegeza na utakula tunda kimasihara.

I used to be like you JODY πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilishapoteza chupi kama 3 kwa uzembe then nikapewa training na Sempai "Shuku" nikatunukiwa black belt!
 
Hahahaha baharia umetisha mzee, nakutunuku shahada ya Uzamili katika sekta nyeti ya pasi za kumalizia [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Mchango wako umeokoa sana vijana ambao walikuwa hawafanikiwi kuona mlango wa kipa.
Hahahahah Extrovert [emoji1806] kaka. Nakusubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umenisaidia sana, sasa na mkanda sijui rangi ya machungwa. Ule mkanda wa mwanzo katika ngumi unaitwaje mnisaidie?
Leo nimeenda kununua ndomu duka la dawa. Nikauliza rough rider hakuna kuna dume tu. Mdada akasisitiza chukua hizi hizi dume. Mi nikamuuliza ulishawahi tumia akasema hapana, basi nikamwambia rough rider ni nzuri sana siku ukizileta niambie ili tuzijaribu uone radha yake. Amekubali amesema jumanne zitafika. Kwa hiyo wadau jumanne siendi kula tunda ila naenda kuzifanyia majaribio rough rider.
 
Tricks za kula kimasihara.

*Unajifanya chizi tu sometimes, huwa inawavutia baadhi ya wanawake. Lazma akutunuku kimasihara hakikisha umemuweka close kwa mawasiliano tu.
 
Tricks za kula kimasihara.

*Unajifanya chizi tu sometimes, huwa inawavutia baadhi ya wanawake. Lazma akutunuku kimasihara hakikisha umemuweka close kwa mawasiliano tu.
Keaho naenda kununua diclopa japo siumwi ntaziweka ndani, ili niwe karibu na bi dada. Hata wapigania uhuru walianza kimasihara tu mwisho uhuru ukapatiakana kweli. Hata Adam alikula tunda eden kimasihala hivi hivi, kaambiwa asile yeye akafanya masihala akalila
 
Bro umepata mapepo kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…