Wapo sana tena wengine unakuta ni mwanaume mtu mzima kabisa ana watoto/ mtoto. Mama au baba asipompenda mchumba wake basi anamwacha yaani dunia ya leo bado wanachaguliwa mke/mume.
Huyo mwanaume atakuwa na shida/tatizo sio bure.... Dunia ya sasa sio ya kuchaguliwa mke...
 
We missed you bro
 
Aisee
 
Huyo mwanaume atakuwa na shida/tatizo sio bure.... Dunia ya sasa sio ya kuchaguliwa mke...
Kweli kabisa huyo mwanaume ana shida. Kuna kaka mmoja namfahamu pia alikuwa hivyo anakubali kuchaguliwa mke kisa tuu ndugu na wazazi. Wanaume wa siku hizi wanashindwa kusimamia maamuzi yao kama kichwa cha familia wanaendeshwa na ndugu au watu wakati mwisho wa siku maisha ni yake na mke na watoto wake.
 
Mrejesho vp?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…