Ila Wanawake hapana aisee anakukataa akiwa single, anakukubalia akiwa ameolewa
 
Ulifeli mkuu hiyo kauli ya unifanye utakacho alitaka kukupa 0654 aka ndogo
 
 
Usisahau mrejesho
 
Apa uliliwa mwenyewe kimasihala sio demu
 
Uyo ni wewe Mimi sitafanya ivyo
 
Haha mm natumia mbinu za humu nafanikiwa mpaka naogopa sasa
 
Lugumya: ....Judica, kama ni Shetani ndo anaamsha hisia kali nilizo nazo kwako, basi naomba Mwenyezi mungu anisamehe, lakini Kama ni hisia zangu za dhati kwako basi, namuomba mwenyezi Mungu akupe imani ili uungane nami katika kwenda kutengeneza familia. .....!

Judica: Mmmmh jamn Lugumyaaaa, are you sure.....!!

Hahahahahah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wakulungwa mpoooooo!!


'Common sense is not common'


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe mambo mzeee
 
Nitarud jioni kusoma najua utakuwa umeweka ka strori hapa.

Hakikisha mwishoni umetumia rough rider mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…