😃😃😃😃😃😃
 
Fa
 
Jibu mahsusi!
Nimependa namna ulivyojibu kwa ustaha!
Hoja za jamaa zimetepeta kabisa.
Biafsi pia nimependa .

Kuna mahali nilikaa nashangaa mwalim wa ingilishi midiam ...namkuta kawa nesi na anazalisha....

Nkamuuliza ...akasema alifanya saidia fundi kwa mwaka then ...akakabidhiwa gauni...

Nilishangaa sana.....na wapo wengi sana wa hivo.
 
Khaaaaa......

Kwa iyo mtoto aliyezaliwa ni wakwako.
 
gogo tena la mpapai

Mikito Mikito is back... 😁 😁 😁 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…