Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
Kuna mwanamke namfahamu ana zaidi ya 45 na amejifungua mwaka huu March. Usiishi kwa kukariri
 
Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
Elimu ya mtaani dot com
 
37 bado mdada kabisa mzee, hayupo kwenye kundi la majimama huyo
 
Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
si kweli ndugu, kuna wanawake wanaingia period hata 4 5 years
 
Mbaya sana hii na je kama alitaka kuua familia yenu kwa magonjwa! Soma alama za nyakati
 
Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
Rudia tena kutafuta hayo maarifa mkuu. 37 mwanamke bado sanaaa. Sema 45+ nitakuelewa.
 
Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
Wewe kama sio mwanafunzi wa kidato cha pili basi umekimbia shule ukiwa darasa la saba.

Yaani hujui chochote kuhusiana na masuala ya jinsia na viungo vya uzazi pamoja na mfumo mzima wa vizazi.

Umetia aibu kwa hiki ulichoandika hapa. Umedhihirisha ujinga wa hali ya juu.
 
Kwann kamanda...
 
Mwanamke anakata M.P akifikisha umri wa miaka 35 na kuendelea. Tuchukulie huyu Mam ana 37.

Kijana wake anagraduate.

Tufanye hajakwama kokote mpaka anagraduate. Atagraduate akiwa na miaka 23.

37 - 23= 14

So Mum alipata mimba akiwa na miaka 13?
Bado kinda sana kwenye mambo haya.

Nimeagizwa pedi hapa na mwanamke mwenye miaka 45.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…