Hahha na hizi tamthilia wanazoangalia ndio kbs,wanataka wajaribie kwa vitendo
Ila ngoja asogeze miaka maana Kuna vitoto vingine nilipuuziaga miaka hiyo now days nikiangalia najikuta kujilaumu kutokulea mdg mdg akiwa bado kidakwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu nampa miaka mingapi tu mbele naanza kula na chumvi ata Kama kidakwa sisubiri kuiva kabisa[emoji23][emoji23]
 
Madoido[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa huyo mdogo wake ndo angefaa kuitwa madoido[emoji41]
 
Hii ya kwangu sijui ni masihara au vipi.

Kulikuwapo binti fulani mitaa niliyopanga hatukuwahi kuwa na mazoea yoyote zaidi ya salamu na sikuwaza kuja kumla hata kidogo maana nilikuwa nina mchumba ambaye nampenda na sikuwa na tamaa ya ngono kwa mademu wengine maana mchumba wangu alikuwa ananitimizia kila nilipohitaji.

Basi nikaendelea na uaminifu kwa mchumba wangu mpaka siku niliyokuta anachat kimapenzi na bwana mwingine ambaye walikuwa mpaka wanatumiana nauli wakutane mikoani.Hasira za kufumania text za mapenzi kwa mchumba angu zikanifanya niwaze kisasi kwake japo nilishaamua kumuacha,kisasi hiko kikanifanya niwale mpaka ndugu zake wawili waliokuwa wananipigia simu ili kuleta suluhu ili uchumba usivunjike.

Basi siku ya kwanza tu ya kugundua usaliti sikulala kwa mawazo na hasira huku nikiwa nawaza jinsi ya kulipiza kwa mchumba angu,ndipo akilini nikamuwaza binti jirani ambaye alikuwa hapiti bila kunisalimia. Nikapiga hesabu za fasta jinsi ya kumpata huyo jirani japo Sina mazoea nae zaidi ya salamu tu. Sijui ujasiri wa kwenda kumuulizia kwao niliutolea wapi,kufika nikamkuta mdada wa makamo aliyejitambulisha ni shangazi yake. Nikaeleza shida yangu kuwa namuhitaji huyo binti maana sijamuona muda wa kama wiki mtaani,yule dada akashangaa nikajifanya sijali huku nazidi kujipa ununda ambao sijazaliwa nao kabisaaa[emoji3][emoji3][emoji3]kusalitiwa kubaya jamani.
Yule dada akasema kuwa huyo bint hayupo kaenda kwa dada yake sehemu flan iv nje ya jiji la dar,nikaomba mawasiliano yake akagoma akidai haijui Nia yangu,nikazidi kusisitiza maana kwa jinsi tulivyokuwa tunaongea hakuonyesha kuwa na misimamo ya kishangazi kabisa. Nikaendelea kukaza huku akitaka kujua lengo langu hasa Ni nini huku akiomba kujua Kama mie ni mkwewe[emoji3] mwishowe akanipa namba ya bintiye huku akinipa baadhi ya mikwara ambayo kwangu niliona kama utani.

Nilipopiga ile namba muda ule haikupatikana,nikatuma text ili akiipata inipe notification niruke hewani. Mida ya mchana nikampata hewani,nikajitambulisha kidogo akanielewa,nikamuomba tuonane akawa anasita akidai hajanizoea na hajui dhamila yangu,nikamtoa wasiwasi kuwa sitomdhuru kwa chochote maana ninapoishi ni jirani na kwa shangazi yake so hata akipiga kelele ndugu zake watakuja[emoji3]akawa ananiomba aje weekend Ila nikamkazania sana aje siku hiyohiyo (sijui kwanini nilikuwa mtukutu ghafla[emoji3]) mwishowe akakubali nikamtumia nauli na baada ya masaa ma3 akawa amefika huku nikimpitishia mlango wa nyuma kwa siri wanaomjua wasimuone. Vile kukubali tu kuja room kwa Siri nikawa nimejihakikishia ushindi,alivyopata ndani nikajiongelesha kidogo akawa hataki kukaa kwa bed na sikuwa na kiti wala stuli kipindi hiko. Vile kubembelezana nikajikuta namgusagusa maeneo hatari akawa ananikataza huku akijitahidi sauti yake isisikike nje,nikazidi kumfanyia fujo na mwishowe akaelekea kibla. Nilimla kwa hasira sana maana sikutegemea kumpata kirahisi na wakati nafanya nilikuwa naona Kama ndo namfanya mchumba angu msaliti,Basi nilimpelekea Moto wa wa ajabu mpaka akaomba poo.
Tulikaa room mpaka usiku sana huku huduma zote tukizimalizia humoho room,nakumbuka nilimpikia wali nyama,Basi alinisifia kwa vingi jirani yake na ndo ikawa mwanzo wa kulianika hadharani penzi letu.
 
Utakukula majini kenge wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa mzee ulibadili gear angani. Noma saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…