Ukaliwa kimasihara
 
Mzoefu wa masihara....mpaka unajua kua mengi yamepinda[emoji23][emoji23]
 
Safi sana mkuu but mmoja si umesema kaolewa jiangalie hapo
 
Mwaka flani hivi wakati nikiwa kiuanafunzi bado kulitokea event ya mmoja wa walimu wetu wa pale skuli alikua anaoa kwa wenyeji wa Tanga watakua wanapafahamu vyema Regal Naivera ndipo event ilitokea.

Nilihudhuria sababu tulikua na undugu na mwalimu ambaye alikua anaoa,ngoja nisitoe maelekezo mengi watu wengine wakaanza kunitaja real name hapa.

But nilienda pale na Mama ambaye alijimix na kina mama wengine kwenye meza huko na mie nkatafuta sehemu nikakaa lakini nia ilikua kujificha walimu wangu wa skuli wasinione nikikata maji ,maana nilikua nayakata mno wakati huo na Mama hakutakiwa ajue kwamba nakula vyombo,but kuna ticha alikua rafiki angu mno ijapokua alikua amenipiga age ndefu tu but damu zilikua zinaenda Sana na yeye.

Bila kujua nikajikalia kwa meza nikaanza kupiga vitu na kwenye meza walikuwepo ndugu wengine na vidada viwili siku hata nawafahamu,maji yakaanza kukatwa mdg-mdg ikafika wakati stories zinakaa sawa kidg kwasababu ya vyombo na tukio la harusi likiendelea Kama kawaida.

Sasa Kuna kadada kamoja kalikua nako kanapiga lite tena unawezasogeza mbili yeye ako na nusu ya aliyokua anapiga Sasa mida Kama ya saa 5 hv kadada kakawa kamekolea na Mimi nkakapa simu hakakuvunga kakaelewa chap akaandika 07 zake nikaanza kukachatia hapo hapo but nilimsanukia kua pombe imemfanya ahitaji huduma ya ziada maana alikua na sign flani hv kwa wanaopiga vipogo wanaelewa.

Nikatoka nje nkakaomba kaje kakatokea kwa getini pembeni kidg ya pale Kuna kijinjia cha kutokea uwanja wanaita disuza pembeni ya makaburi ya Bombo wenyeji wanapafahamu......nkasogelea kadada zero distance kakajaa kunipa kiss,tukakiss pale mpaka nikaona siwezi zinguliwa nkajaribu kupima oil kitu iko njema na pale nje kulikua na Toyo tu zinasubiria abiria wa kutoka ndani so kagiza kalinisaidia kutokuwaza kufanya yote.

Sijui ujasiri gani nilipata nikaenda nako kwa njia hiyo Ani na pako panatisha hatari sababu ya vimatukio vinatokeaga pale makaburini vya uhuni wa ajabu but kichwa ya chini ilinizidi maelekezo so nikaenda na kadada kakaanza kusita nikakaomba mno Ni chapa kakakubali but kiuoga Sana tukaingia pale makaburini kwa pembeni karibu na uwanja nikapiga Mali na ukichanganya na pombe mzigo haukutaka kutoka mpaka nakuna maliza tunarudi ukumbuni msosi watu washapiga Ni mfarakano wa kurudi majumbani tu.

Nikacheki simu nakuta mazaa amenitafuta nikapiga nikamuelekeza sehemu nilipo tukaonana tukasepa ila nilikua sijaonja ata kuku yao,but nilikua kautamu ka mdada.

Baada ya siku Kama 3 hivi akanicheki tukaonana nikapiga Tena mzigo akaniaga kua alikuja kwaajili ya harusi tu anarudi Moshi kwao na ndio ikawa mwisho wa kuonana na tulikuja potezeana tu kimasihara Kama nilivyokula kimasihara!

But tukio lililotokea ukumbini la kupiga vyombo ikawa chanzo Cha kuja kutafuna mmoja wa maticha wangu ntakuja nayo stori muda si mrefu!
 
hasira mbaya sana kuna familia moja nimekula wanne baada ya mlengwa kunizingua
 
hasira mbaya sana kuna familia moja nimekula wanne baada ya mlengwa kunizingua
Kweli kabisa,nikikumbuka nilivyojiamimisha kuwa Ni wangu peke yangu kumbe mpaka wa mikoani wanatuma nauli aende nikachukia mademu wote na kuanza kuwa mhuni rasmi[emoji3]wale nduguze hawatosahau kiherehere Cha kujifanya wasuluhuhishaji,maana kila m1 alikula rungu kwa muda wake kufidia makosa ya dada yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…