Chai na samosa [emoji125][emoji125]
 
Hamna kitu hapo
 
Mwanakulitafuta mwanakulipata
 
Mkuu ongezea na hivi...
 
Wajuba wazee wa kimasihara mmeniponza
Shemej yangu mke wa kaka anae mdogo wake wa kike nimejaribu kuomba mzigo kaniamshia pira laana, naona imekua ipo serious sana hapa hakuna masihara tena nikifanya mchezo anaweza kumwambia dadaake
Ukitaka kimasihara, unaanzisha mpango wako kimasihara, ili upime upepo kwanza! Ukiona analeta chembe chemebe za kilokole unajichekesha, unampliz ndo imetoka hivo!

Lkn ukiingia serious kwa mtu ambaye anaweza kukusemea kwa ndugu afu ukaumbuka, tarajia kuumbuka. Maana tamaa mwisho wake aibu!
 
AISEE HII ILIKUWA BALAA DEMU ANATAKA MZIGO MWENYEWE TENA MKE WA MTU
 
Safi Sana mkuu ila daah maherufi makubwa Kama bubu mkuu!![emoji23][emoji23]
 
Punguza ujinga basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakula nini vile?
 
Umekula kondoo katubu
[emoji23][emoji23]
 
Wajuba wazee wa kimasihara mmeniponza
Shemej yangu mke wa kaka anae mdogo wake wa kike nimejaribu kuomba mzigo kaniamshia pira laana, naona imekua ipo serious sana hapa hakuna masihara tena nikifanya mchezo anaweza kumwambia dadaake
Lakini hpo ulicheza kamari kma jina lko lilivyo, pole kwa kuloose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…