Wajuba wazee wa kimasihara mmeniponza
Shemej yangu mke wa kaka anae mdogo wake wa kike nimejaribu kuomba mzigo kaniamshia pira laana, naona imekua ipo serious sana hapa hakuna masihara tena nikifanya mchezo anaweza kumwambia dadaake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pole mjuba, umeshazingua tayar kilichopo sasa nenda nae serious siyo kimasihara tena mpe ahad nyingi nyingi mwahid vitu vizuri, mnunulie ht zawadi kali(nguo) ili umpoze vinginevyo unaenda kuaibika mchana kweupe.
 
Mkuu huyo mjengeee mazingira ya kumla kimasikharaaaa.

 
Kudadakeq.....

Ukitoka misa maliziaaa hiii
 
Huyu wa kujiuza nae ni masihara mkuu
 
Miezi kadhaa nyuma, msibani maeneo ya Mikocheni. Aliyefariki alikuwa ni rafiki wa baba yangu hivyo niliwakilisha familia.
Kama mjuavyo misiba ya watu wa bara hasa watu Mara, mara nyingi hupenda kuongea kilugha hivyo kama wewe ni mgeni utajikuta huna mtu wa kuongea naye.
Muda wa saa mbili nikaamua kutoka ili kwenda kununua vocha maduka ya jirani. Nikiwa natoka dada mmoja naye akawa anatoka na tukawa tunaelekea dukani.
Binti alikuwa mnene kiasi, macho makubwa na kasura fulani hivi cha kitoto. Akanisalimu na kuniambia kwa kicheko huu msiba wenye msiba wao wanaongea kilugha tu. Tulicheka na stori nyingine zikaanzia hapo.
Tuliporudi, muda wa chakula cha usiku akaja akakaa karibu kabisa na kona niliyokuwa nimekaa. Baada ya mazungumzo machache nikagundua huyu dada anafanya kazi ofisi moja na mmoja wa mtoto wa marehemu.
Nilipanga kuondoka msibani saa sita usiku ili nikalale nyumbani. Huyu binti inaonekana alijipanga kuja kulala msibani ila akakosa kampani maana watu wengi walikuwa ni wanafamilia na walikuwa wakiongea sana kilugha na mfiwa alikuwa ndani mahali ambapo walikuwa wamekaa wanafamilia tu.
Nikamtania tu, twende ukalale kwangu kesho urudi hapa kwa shughuli za kuaga mwili wa marehemu. Alijichekesha kisha akaniambia anaogopa kupigwa, baada ya kumhakikishia usalama wake, akawa amekubali.
Majira ya saa tano na nusu nikamwambia tuondoke, wala hakusita, aliingia ndani na kwenda kuchukua mkoba wake.
Tukaingia kwenye Vitz(niliyomuazima jirani yangu) tukaanza safari kuelekea ninapoishi.
Dada akawa comfortable kabisa na utani wa hapa na pale.
Tulipofika, kila mtu alioga na safari ya bedroom ilianza bila kuulizana maswali mengi.
Alitangulia kupanda kitandani nami nikafuatia. Nilipofika alijisogeza na kuweka kicha kifuani kwangu. Sikuwa na muda wa kupoteza nikajilia mate huku nikimpapasa.
Binti alilegea kiwango cha kutosha, kisha kwa uchovu akaniuliza kama nina kondom.
Nilivaa kondom nikajilia tunda bila kuliomba.
Asubuhi kuamka, tunasalimiana binti anatabasamu huku akiniambia "kweli kufa kufaana" nikabaki nacheka tu.
Nikamsogelea nikapata cha asubuhi wakati huu hata hakuulizia kama nina kondom.
Majira ya saa nne tukirudi msibani kwa shughuli za kuaga mwili.
Huyu niliendelea kula mpaka alipoolewa na huyo aliyekuwa mchumba wake.
 
Haya ndo Mambo Sasa! Ni mwendo wa Chaga Bite tu.
 
Km sio fix, baaaas hii ndo masikhara OG, umeuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
 
Hii ndio masikhara 100% nice nice mdau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…