interegenciadick
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 698
- 1,090
Jiandae kukojozwa kwa maneno.Asee huu uzi ulinipita
Ngoja nimalize kupika nishinde hapa[emoji848]
Hahahahha yani
Ni una mambo huu..Asee huu uzi ulinipita
Ngoja nimalize kupika nishinde hapa[emoji848]
[emoji850]Siku nilivyolala na mke wa mtu kiutani utani tu
Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Iringa kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni).
Niliiingia ndani ya basi na kwenda kuketi kwenye siti yangu, baada ya dakika kadhaa akaja Mwanadada mmoja mwenye urembo wa wastani, na umbo moja maridhawa, huku nikiwa nimemkazia macho, alifika pale nilipo huku akiangalia tiketi yake mkononi, baada ya kunisalimu akaketi pembeni yangu na kutulia tuli.
Baada ya mwendo fulani safarini tukajikuta tumetumbukia kwenye stori za hapa na pale, stori zilienda kwa muda na mara kila mmoja akaanza kusinzia kwa wakati wake, nilipokuja kushtuka baadae nikamkuta bi Dada ameuchapa usingizi na wala hajitambui, baadae kidogo nami nilisinzia tena na kupotelea usingizini. kabla ya sote kushtuliwa na tangazo la Muhudumu wa Basi kwamba tunaingia hotelini kwa mapumziko ya dakika kumi pamoja na kupata chakula.
Baada ya msosi na kurudi kwenye basi mastori yalianza tena upya huku wote wawili tukiwa tumechangamka tofauti na pale awali, ndipo kwenye maongezi nilipogundua yeye ni mke wa Mtu mwenye Watoto wawili, na tena akanionyesha picha za wanafamilia wake alizokuwa nazo kwenye simu yake.
Ndipo la haula nilipogundua kuwa muda wote wa safari nilikuwa nimelala na Mke wa Mtu. Hakika tulifurahiana sana kwenye safari ile, huku stori zikinoga kadri tulipokuwa tunakaribia eneo la ubungo ambako ndio kituoni na mwisho wa safari yetu, tuliagana kwa bashasha huku tukitakiana kila la kheri kule tuendako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni una mambo huu..
Hadi baadhi ya Comments humu zilifutwa..
Kuna huyo mmoja alimla hadi Chizi..
uzi wa kishetani JF ndo huuJiandae kukojozwa kwa maneno.
Kuna member huyo nadhani alipewa Ban anaitwa Juma..aliwahi hadi kupita na kichaa.. Nadhani baadhi ya visa vyake vilifutwa..Khaa chizi!!? kivipi
Na wewe unakujaga huku? [emoji15][emoji15][emoji15]Kuna member huyo nadhani alipewa Ban anaitwa Juma..aliwahi hadi kupita na kichaa.. Nadhani baadhi ya visa vyake vilifutwa..
Ni alikuwa na matukio huyo nadhani ndiyo alikuwa anaongoza akifuatiwa na kiga..
Kuna member huyo nadhani alipewa Ban anaitwa Juma..aliwahi hadi kupita na kichaa.. Nadhani baadhi ya visa vyake vilifutwa..
Ni alikuwa na matukio huyo nadhani ndiyo alikuwa anaongoza akifuatiwa na kiga..
Ile stori kwa namna ilivyoelezwa inaonekana hakuwa kichaa yule.. Alikuwa na kazi maalumu..Ana dhambi ndo hao utakuta Kichaa ana mimba kumbe washampitia na wanamkimbia
Ha ha ha..Na wewe unakujaga huku? [emoji15][emoji15][emoji15]
(Natania [emoji2099][emoji2099][emoji2099])
Ile stori kwa namna ilivyoelezwa inaonekana hakuwa kichaa yule.. Alikuwa na kazi maalumu..
Ile stori ni ndefu.. Maana baada ya kumla tu.. Hakuwahi tena kumuona yule Kichaa..
Yule Member alikuwa anaitwa juma p maharage.Kuna member huyo nadhani alipewa Ban anaitwa Juma..aliwahi hadi kupita na kichaa.. Nadhani baadhi ya visa vyake vilifutwa..
Ni alikuwa na matukio huyo nadhani ndiyo alikuwa anaongoza akifuatiwa na kiga..
Ndiyo kitakachofuata..hahaha natamani niijue kidogo. sema nawe usije ukapigwa ban
Ndiyo..Yule Member alikuwa anaitwa juma p maharage.
Huhuhuhuh ile story yule mdada inavoonesha hakuwa kichaa in real, maan alikuwa anamsubir eneo la kazi anapofany jamaa, hadi Bank alikuwa anamfuata,Ndiyo..
Sasa hivi naona anatumia ID nyingine.. aliitaja hapa..
Hiyo story jamaa alitupiga kamba kama unakumbuka alisema alishuka adi Chumvini [emoji23][emoji23][emoji23]Huhuhuhuh ile story yule mdada inavoonesha hakuwa kichaa in real, maan alikuwa anamsubir eneo la kazi anapofany jamaa, hadi Bank alikuwa anamfuata,
Aliniacha hoi et pale barabaran jamaa akiwa anatoka club kalewa haelew et kakutan na yule chizi akamuongoza had home kwake na ndo sku hyo waliokulana kimasikhara, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaa
Alisema hawezi tena..Alete mambo mapya...
Ha ha ha..Huhuhuhuh ile story yule mdada inavoonesha hakuwa kichaa in real, maan alikuwa anamsubir eneo la kazi anapofany jamaa, hadi Bank alikuwa anamfuata,
Aliniacha hoi et pale barabaran jamaa akiwa anatoka club kalewa haelew et kakutan na yule chizi akamuongoza had home kwake na ndo sku hyo waliokulana kimasikhara, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] khaaaa