Umeuza mechi!
 
Kiongozi chonde chonde kwa niaba ya wanajukwaa tunakuomba uendelee kutunyapulia maana naona unakoelekea kuna nuru zaidi inshallah Allah akutangulie kwenye mwendelezo wa hii story yko
 
Mjuba endelea
 
Ha ha ha..
Huu uzi tangu Day one nilikuwa naufuatilia..
Nilianza kusuasua tu pale baadhi ya visa vilipoanza kufutwa.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
lazma utakuwa unanyegeka sana kama huna wa kukusuuza.

Itabidi nianze kujisogeza tuwe tunasoma wote hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…