Daah!! Mkuu ilotako limenichanganya alfu limevimba vizuri
 
Safi mkuu sema kama ni mchumba wa mtu achana nae mkuu .
Chunga kupakwa mafuta
 
Acha uoga ni vigumu sana kupata picha gizani haswa kwa flash kama hujawasogelea wahusika karibu kama mita moja hivi. Hizo picha hazijazagaa kwa kuwa kwenye giza hawajapata picha ya kueleweka. Endelea tu na harakati zako mzee baba
 
Kwahiyo unanishauri nirudi kwenye kula tena kimasihara ili Mgirik azidi kunikalili[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na je kama hiyo camera walioyoitumia ina uwezo sana?Sina ujuzi na mambo ya picha

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Umefungua codes zote unaweza kumuharibia huyo bi shosti ndoa
 
Kwahiyo unanishauri nirudi kwenye kula tena kimasihara ili Mgirik azidi kunikalili[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] na je kama hiyo camera walioyoitumia ina uwezo sana?Sina ujuzi na mambo ya picha

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Rudi tu kwenye fani hamna kamera inayoweza kupata picha ya kueleweka hapo labda mngekuwa mmekaa sehemu ina mwanga. Flash light zinataka uwe karibu sana ili kupata sura za wahusika haswa usiku
 
Salute!
 
Mkuu kama ulitoka bila mgeni aliyoimbwa na Komba shukuru sana.
 
Hizi mambo za kuwa mnaelezea kila kitu kuhusu watu yaani kuanzia wasifa mpaka shughuli wanazo zifanya mtakuja vunja ndoa za watu kwa kutaka kujimwambafai hapa.jukwaani.kama hauna cha kusimulia kuwa msomaji TU. ukifurahia zaidi gonga like pita hivi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa kuna kuliwaa mke live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…