Kulaaleki kaka yangu anaoa baada ya hii corona na ni mchaga. Ngoja nimchunguze vizuri... Huenda anakuoa wewe
 
Naomba uzi huu ufutwe tafadhali mods! Nimeandika kuunga mkono juhudi kule jukwaa letu pendwa! Sjui umejianzishaj! Wadau naomba radhi Sana! Mkuu rikiboy, na Wadau wengine! Lengo langu ni kusapoti ule uzi, wetu! Mods tafadhali, kick this thread out! Disenable this thread pliz!
 
Big up sana,usimuliaji wako murua sana[emoji109]
 
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat? Hii n masikhara OG, plz pita mliman city chukua chochote nakuja kulipa chap kwa haraka. BAHARIA wa kiwango cha Uchumi wa Kati. [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
Kama hukupiga 0715 ndio basi Tena! [emoji23]Patel alifaidi
 
Dah!!....nimeishia kudindisha tu.

Najaribu kumuwazia afande jasmin uzuri wake ulivyo kwa kweli
 
Wewe jamaa hatari sana.
 
Nyuzi ya gitaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…