Duuuuuh aseeeeeh kwahyo anakubali kuburuzwa tyuuuh, huku akijua hana nafas ya kuwekwa ndani? Jah amsaidie kwa kweli aaaaaah


Nilimuweka wazi mapema sana kuwa nna mke..and she was okay with it..ni mm nilimshauri aolewe baada ya kuwa anataka sana mtoto....bad thing her marriege ddnt work...huwa inanisumbua ila sina jinsi maana huwa ananipa kila nitakacho..na mm namfanyia kila apendacho...tukiwa wote we do all the nasty stuff known...kwa kifupi we obsessed to each other..
 
Mmmmmh haya bhana, hongereni sana kwa hilo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] manina we jamaa!!
 
Nilianza naye nikiwa tayari na mke mkuu....isingekuwa hvo ningeshamuweka ndani siku nyingiiiii..maana ananiheshimu sana...sana yaani
Ana maroho ya kupenda kuliwa nyuma.
Unavosex nae unabeba ile roho.
Ukisex na mkeo ile roho inamuingia mkeo.
Kuna time mkeo atakua interested na hayo makitu.
Na hawezi sema kwako, coz utahoji.
Atatafuta somewhere.
U know.
 
Ana maroho ya kupenda kuliwa nyuma.
Unavosex nae unabeba ile roho.
Ukisex na mkeo ile roho inamuingia mkeo.
Kuna time mkeo atakua interested na hayo makitu.
Na hawezi sema kwako, coz utahoji.
Atatafuta somewhere.
U know.
Kichwa cha chini kikisimama haya mambo ya roho, maroho huwa hawaelewi kabisaa.
Ukitaka kujua mambo ya maroho tunachukulia poa cheki swala la ngono salama ( using protection)
 
Duh..bado kdg nikupe credit maana sijawahi kuiona lkn baada ya kusoma komment za wadau,,aaaaarrrhhghhhh.....Ila mhusika original wa hii riwaya ni msimuliaji mzuri sana,iwe ya kutunga au ukweli.
 

Haha a .... eti uliliona lile tako ukatamani kulia
 
Hizi mambo za kuwa mnaelezea kila kitu kuhusu watu yaani kuanzia wasifa mpaka shughuli wanazo zifanya mtakuja vunja ndoa za watu kwa kutaka kujimwambafai hapa.jukwaani.kama hauna cha kusimulia kuwa msomaji TU. ukifurahia zaidi gonga like pita hivi.
Tatizo wakificha baadhi ya vitu ili kulinda, kuna wapumbavu watakuja kucomment ni chai
 
wewe utakuwa mgombea umenyimwa kura unatuletea uongo na asubuhi asubuhi pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…