Dah.. Pole sana kwa utapeli uliofanyiwa mkuu
 
kiboko
 
Hizo codes ni diverted codes.
1. Huyo binti hatoki ifakara na wala alikuwa haendi Tabora.

Mabaharia huwa tuna namna ya kufunga codes kana kwamba stori ipo wazi lakini huwa sio hivyo.

Ma Men!! Thats what I am talking about....you the [emoji238]...excellent job..
 

Writing comes easy to others, but not to some. It is a task that is usually considered as a hassle and people seem to develop a hatred for it after a few failed writings . But some have learned that it can be an easy way to express your feelings, and the feelings of others. Your writing is beautiful.
I couldn't put the story down" or something to that extent would certainly make my day....YOU THE G.O.T, I salute you man.
 
Thank you brother toughlendon_1: Though, some members were due to break my nose, for unintentional mistake!
 
Hamnaa tundaa linaloliwaa kimasiharaaa sema hiyooo inakuwaa nikanyage bahati mbaya nipasuke makusudii unamtime demu kumbe naye anaminye******gee mwanamke asiporidhiaa huliii tundaa boy aminiyakwambaaaaaa,,,,,,,,,,,,,,
Ukweli asilimia mia moja
 

Uzi pendwa upi??
 
Uzi pendwa upi??
Huu! Nilijichanganya badala ya kupost huku nikajikuta nimeanzisha thread mpya, so nilikuwa nawaambia mods wafunge thread yangu walete kwenye hili jukwaa pendwa! Naona tayari wameshafanyia kazi
 
Huu! Nilijichanganya badala ya kupost huku nikajikuta nimeanzisha thread mpya, so nilikuwa nawaambia mods wafunge thread yangu walete kwenye hili jukwaa pendwa! Naona tayari wameshafanyia kazi
Vizuri kama washaisolve naona wadau walitaka kukukalia kooni baharia..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1][emoji1][emoji1]
Sana! Hawajui mm ni mdau wa huku, naanzaj kuvuruga uzi ambao kila baada ya dk 10 lazima niuchungulie? Siwez! Siwezi!
Kabisa mzee! Wale wote waliowahi kupigwa Ban kisa huu uzi nawasalute sana[emoji16]
 
Thank you brother toughlendon_1: Though, some members were due to break my nose, for unintentional mistake!

Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed....Let me tell you this, if you meet a loner, no matter what they tell you, it's not because they enjoy solitude. It's because they have tried to blend into the world before, and people continue to disappoint them..

YOUR HELL OF A WRITER , i know a lot of people wont admit it because of their personal ego and selfishness, people are always like that, I don't know why people selfish man...
 
Kopo la mkojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…